Jaman natafuta field mwenzenu...

Jikaze wewe mbona mimi bodi hainitambui,na niwiki yangu ya 7 katika field.Na nipo mkoa ambao ndugu zangu hawapo kabisa(siyo hawapo karibu) na natarajia wiki ijayo nimalize.

Wacha kulalamika,na silipwi hata senti,The way unavolialia shida hata ukipewa kazi watatumia madhaifu yako.

Kwanza inaonekana hujazoea shida,endelea kutafuta field za karibu na ndugu zako. Hao ndugu kama wanakupenda hawajui kuna MPESA?TGOPESA?
Ushaniuzi kwanza,unataka useme wewe ndo wakwanza kusoma?[/QUOpole kwa kukuudhi, watu 2natofautiana ndugu, unataka niannounce apa kma nna magonjwa binafc pia!! Hongera kwa kupata field, na endelea kukomaa ivyoivyo wangu
 
Kwanza unajina la dada yangu aliyeniachia ziwa. Ndo mana nimekuwa nimekasirika kukuona unang'ang'ania field huko.

Hapa ungeitaji field ya hiyo kozi yako ningeweza hata kuhangaika kukuangalizia. But u do not want to get IPT away from your family.well and good.
 
dogo jiajiri mwenyewe mbona mnapenda sana mteremko

kwa muonekano wa sentensi zako wewe ni mwajiriwa tena umeanza kazi juzijuzi ndio waga mpo hivyo..

:focus:
jaribu mabenki halafu omba matawi ya mkoani sio hapa watakunyima..
 
Field zipo, ila sehemu nyingi wanahitaji mtu afanye internship kwa miezi 3, barua yako ya internship/field attachment toka chuoni kwako itume katika email hii thanda.rsa@gmail.com kama bado una muda...Asante na karibu
 
Yani wewe hata uwezo wako wakufikiri ni mdogo sana!Huyu dogo ameomba field wewe unaleta mambo ya wakati wenu mnasoma so what?umemsaidiaje huyu anayejitafutia field mbona unakua kubwa jinga? Dogo nitumie email yako ili nikuunganishe kwa jamaa yangu au ofisini kwangu uniambie ufanye field
nakumbuka sisi wakati tunasoma chuo, mambo ya field yalikuwa yanafanywa na utawala sie ni kuripoti tuu! coz sidhani kama now mtu unaweza kwenda bungeni eti kuomba kufanya field, ila mimi nilifanya zote mbili pale! hongera sana kwa uongozi mzuri wa chuo chetu during that time naona siku hizi mambo yamebadilika mpaka mnajitafutia
 
Bushbaby......nina mfano ulio hai wa mtu wa namna hii ya NeyJerry. Mimi simjui na yeye hanijui, yeye alikuwa na shida mbili..Ya kwanza alikuwa na uhitaji wa mume, na alieleza waziwazi, na kuna baadi ya watu walimponda sana lakini yeye hakujali na wala hakuwajibu vibaya

Shida yake ya pili ilijitokeza ilijitokeza baada ya kuwa muwazi kuwa anahitaji kubadilisha kazi aliyokuwa anafanya, by the time tunawasiliana naye kwa mara ya kwanza tena kwa email, mimi nilikuwa Tlokweng (Botswana) nikijiandaa kufika Arusha. Kumbe naye alikuwa Dar Es Salaam.

Akanitumia CV/RESUME yake nikaipost mahali na kuwapigia simu kumuombea kazi.....Leo yuko anafanya kazi huko niliko muombea.

Sababu ya Mfano huu wa kweli ni kwamba katika Forum, kila mtu ana mtazamo tofauti, mahitaji tofauti na upeo tofauti...hivyo naona kama NeyJerry yuko sahihi kujieleza.....anastahili kusaidiwa kama kuna uwezekano huo. Kama kuna uhitaji wa ushauri au ushahidi wa aliyesaidiwa na akasaidika mniambie tu nitawapigia simu kuwaomba niwataje humu, majina yao halisi na namba zao za simu, hata email zao ikibidi ingawa hatujawahi kuonanana kwa sura.
 
HERALD..naoMBA UNISAIDIE KAMA NITAPATA SEHEM YA KUFANYA VOLUNTEERING HAPA BONGO..ts seems u have good heart!!
 
Yani wewe hata uwezo wako wakufikiri ni mdogo sana!Huyu dogo ameomba field wewe unaleta mambo ya wakati wenu mnasoma so what?umemsaidiaje huyu anayejitafutia field mbona unakua kubwa jinga? Dogo nitumie email yako ili nikuunganishe kwa jamaa yangu au ofisini kwangu uniambie ufanye field

thanx 4 ur understanding mkuu, my email address ni dominickneema@yahoo.co.uk
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom