Nimerejea kwako Tuntu, jana nimemsikiliza Lulu kwenye Clouds TV anasema yeye anapenda mwanaume mrefu lakini asiwe mrefu sanaaa, awe mweupe na kama si mweupe basi awe na weusi wa kung'aa. Pia awe mtu anaye weza kumpa ushauri mzuri kimaisha. Sasaaa Vigezo hivyo unavyo?