aisee, pole ndo hivo!
asante, mm bado niponipo
Kwani wewe unaye?Single siyo nzuri tafuta wa kukuondolea upweke
Yakikushinda sana, jaribu kufanya hivi.
Fanya mazoezi ya kuhema kwa kujaza tumbo hewa, hii inasaidia kutoa tension yeyote ile uliyonayo mwilini, kwa kuanza fanya mara 100 kila siku baada ya hapo utazoea na ugumu wa upweke au mastress yoote yatapotea.
Yakikushinda zaindi piga puli, puli yenyewe iwe ni kwaajili ya kujiridhisha (puli isiyo na shahawa) huta pata madhara ya aina yeyote ile trust me.
nilikuwa nikiona watu wanalalamika, upwekd, upweke! sasa nimeona mwenyewe! loh, upweke noma.