Steven Robert Masatu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2009
- 2,458
- 1,821
naombeni ushauri kwa hili suala.
huko facebook nasikia kuna groups za watu tofauti tofauti, na maanisha group within a group.
ni vikundi vya akina mama na akina baba vijana kwa vijana, wanasaidiana kwa mambo tofaut tofaut katika kutatua matatizo yao pamoja na ushauri.
sasa these days wife amekuwa busy sana na facebook mpaka imefikia stage mambo muhimu anayopaswa kufanya anamuachia dada wa kazi.
cha kushangaza ijumaa ananiambia anataka kwenda bagamoyo kuna mkutano na hao rafiki zake wa huko facebook wanakutana, na ni muhimu sana hawezi kukosa.
kidume bila kinyongo nikatoa ruhusa,leo asubuh mapema kachukua gari langu kaacha lake kaenda bagamoyo na mpaka sasa napost hii thread hajarudi.
napenda kuuliza hivi kuna nn nyuma ya hivi vikundi vya huko facebook au ni kama humu wanajf tunavyokutana maeneo tofaut tofauti.
nawasilisha.