jaman dunia imeisha

jaman dunia imeisha

dokolombwike

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2012
Posts
373
Reaction score
622
leo asubuh nikiwa natoka kariakoo c nikapanda daladala na katoto ambacho nahic kina miaka kama kumi na nne hiv.tulikuwa tumekaa siti moja baada ya kufika manzese mtoto kwa uwoga c akaniomba namba ya cm nami kweli nikampa! Sasa jion hii nipo geto c kakapiga! Eti kaka mi nimekupenda ghafla naomba tuwe wapenz! Jaman maomben ushaur nimeathirika kisaikolojia.
 
Embu fikiria akao katoto kawe dada ako au mama ako mdogo alafu uje utwambie ni kazinzi na uombe ushauri kwetu Je itakuwaje?
Ningependa ukaenda kuosha ubongo wako alafu uje kivingine digi digi mkubwa
 
Ikimbie zinaa mkuu! Shetwani hujivika vivutio vingi. Tumia busara yako kumuelimisha nini maana ya MAPENZI.
Ni kweli katika umri huo ana mihemko mingi lakini anahitaji kuongozwa! Kuwa mzazi wa kweli. Just imagine ndo kabinti kako ka kuzaa kana-crush hivyo kwa nyang'au fulani and lina-take advantage!!
 
Mpe ushauri juu ya madhara ya mapenzi ya utotoni. Hakikisha hamkutani ana kwa ana kwani unaweza kushindwa na vishawishi. Kuwa mkubwa ni pamoja na kuwa na uwezo wa kuwaambia wadogo mabaya na mabaya kwa vitendo. Kuwa makini na afya yako, afya ya jamii na mustakabali wa taifa
 
Baada ya mda watu watakushudia upo sehem ambapo juu kuna picha ya Nyerere na picha ya rais huku ukisikia sauti "miaka 30 jela kw kubaka katoto" af ikimaliziwa na NYUNDO ya hakimu mkazi kisutu. "Paaaaaa.....!"
 
We nawe hukushangaa alipokuomba number unashangaa alivyokupigia simu kukutamkia hayo maneno...au aliingia kwa gia ya nilipie nauli..??
 
sasa dunia imeishaje hapo mkuu....ulimpa namba ya simu ya nini? au wew ni mwalimu wa tuition? watch out mkuu,c kila mtu town wakupewa phone number..
 
inaonekana ww mwenyewe ni katoto! Mtu mwenye akili ya kiutu uzima hawez kuomba ushauri wa kitoto hvi! Shame on u.
 
Malengo yako kumpa namba si ili muwasiliane?..cha ajabu hapo ninini?
Mimi nahisi kuna maneno maneno ya ajabu ulimrushia ndiyo akapata guts za kuomba namba ya simu!
Hapo ulipo unalipia ukware wako, na usikute unatuambia sisi wakati tayari ushamnanihiino!
 
Hao ni mwili tu wazoefuuuu hao

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
niliwahi kukutana na kamoja kwenye daladala ya mwananyamala posta, aliomba namba ya simu nikampa, alipiga kusema ana hamu na mimi nikakata simu, na alipokuwa akipiga nilikuwa sipokei tena
 
Unataka ukasalimiane na hakimu kisutu?........Kimbia mtu wangu, usijaribu kuwa na uhusiano na mwanafunzi inaleta picha mbaya ktk jamii(FATAKI), Miaka 3 si mchezo utakuwa sample. Kimbia ndugu yangu..............
 
We ulivyompa namba ulitegemea akupigie simu akuombe notes za biology au?
 
leo asubuh nikiwa natoka kariakoo c nikapanda daladala na katoto ambacho nahic kina miaka kama kumi na nne hiv.tulikuwa tumekaa siti moja baada ya kufika manzese mtoto kwa uwoga c akaniomba namba ya cm nami kweli nikampa! Sasa jion hii nipo geto c kakapiga! Eti kaka mi nimekupenda ghafla naomba tuwe wapenz! Jaman maomben ushaur nimeathirika kisaikolojia.


Wewe unaidharirisha Jf, yani wewe naye ni great thinker. Sasa tubadilike jamani yani wewe ni muharibifu talafu unaleta humu ndani huo ***** wako? Mtoto wa miaka 14 anakusaidia nini, na kuna nini cha muhimu sana mpaka uamue kutushirikisha nasi? Behave man.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom