jaman dunia imeisha

sasa dunia imeishaje hapo mkuu....ulimpa namba ya simu ya nini? au wew ni mwalimu wa tuition? watch out mkuu,c kila mtu town wakupewa phone number..

Ni kweli kwanza mpaka umpe simu hapo ulikua unafikiria ni kwa ajili gani
 
Unanikumbusha hii methali!!....
MTOTO AKILILIA TOPAZ ..........
 
Sababu za kumpa namba za simu ni zipi!
Na kama ulimpa kwa nini ushangae akikupigia
 
Dunia ime isha vipi? Namba alikupokonya?

Its difficult to examine your self
 
Eti Dunia Imekwisha!!?

Wewe Umekwisha kaburuza Katoto Ka watu....Unachoshangaa Ni Kukuta Hakana Bikira Kama Ulivyozani!!
Jua Unaongea Na Wazazi Hapa!!
 
leo asubuh nikiwa natoka kariakoo c nikapanda daladala na katoto ambacho nahic kina miaka kama kumi na nne hiv.tulikuwa tumekaa siti moja baada ya kufika manzese mtoto kwa uwoga c akaniomba namba ya cm nami kweli nikampa! Sasa jion hii nipo geto c kakapiga! Eti kaka mi nimekupenda ghafla naomba tuwe wapenz! Jaman maomben ushaur nimeathirika kisaikolojia.

Subiri kesi inakuja muda si mrefu, hako katoto kataenda polisi na kudai umekabaka ndio utajua maana ya kutoa namba za simu hovyo hovyo.Chezea Dar wewe!!!!!
 
sasa umeathirika vp kisaokolojia? mbona ni ishu ndogo tu KATA MAWASILIANO...kumbuka HERI NUSU SHARI KULIKO SHARI KAMILI!!kaa mbali!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
leo asubuh nikiwa natoka kariakoo c nikapanda daladala na katoto ambacho nahic kina miaka kama kumi na nne hiv.tulikuwa tumekaa siti moja baada ya kufika manzese mtoto kwa uwoga c akaniomba namba ya cm nami kweli nikampa! Sasa jion hii nipo geto c kakapiga! Eti kaka mi nimekupenda ghafla naomba tuwe wapenz! Jaman maomben ushaur nimeathirika kisaikolojia.
 
ushasema katoto!! huoni Mungu kakufunulia kitu, shauri ako utapotezwa kwa kupenda mashetani wa dar au hujui jiji lina mashetani wanatafuta wa kuwapoteza?? TAKE CARE YOURSELF...
 
Pole mkuu .....
Mtoto ameweza kukuharibu ndani ya nusu Siku .. Mmmhhhh

Imenibidi nikupe pole tu ...
 
leo asubuh nikiwa natoka kariakoo c nikapanda daladala na katoto ambacho nahic kina miaka kama kumi na nne hiv.tulikuwa tumekaa siti moja baada ya kufika manzese mtoto kwa uwoga c akaniomba namba ya cm nami kweli nikampa! Sasa jion hii nipo geto c kakapiga! Eti kaka mi nimekupenda ghafla naomba tuwe wapenz! Jaman maomben ushaur nimeathirika kisaikolojia.

Yaani kama mimi ni baba mtoto na kupiga kweli kweli inakuwaje unatoa namba ya simu kwa mtoto ambaye humjui na wala hamuwezi kuwa marafiki............kwanza wewe unaumri gani?

ulisema chuo...

Rudia post mkulu, nilisema katoka chuo!!! Yaani yeye ticha ndo alikuwa kamaliza chuo ndo kaajiriwa. Manake bila kukwambia kama enzi za huu ni UFA----------? Wanafunzi wanamalizia GIO! Tutakesha
 
we una ufa? lol
 
leo asubuh nikiwa natoka kariakoo c nikapanda daladala na katoto ambacho nahic kina miaka kama kumi na nne hiv.tulikuwa tumekaa siti moja baada ya kufika manzese mtoto kwa uwoga c akaniomba namba ya cm nami kweli nikampa! Sasa jion hii nipo geto c kakapiga! Eti kaka mi nimekupenda ghafla naomba tuwe wapenz! Jaman maomben ushaur nimeathirika kisaikolojia.

tukushauri nini wakati wewe umetengeneza mazingira mpaka ukaombwa namba ya simu.roho ya uzinzi inakutesa wewe ,nyeto nk haya ushauri wangu.Mwamini Yesu yaani okoka ndo utapona na yote hayo ya dunia.hii bila Yesu utakuwa mtumwa wa ngono mwisho mauti take care...
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom