jaman dunia imeisha

You create the monster, feed it!

Mara nyingi huwa tunawaona watu "wengine" ni wa ajabu, kumbe "sisi" ndio wa ajabu, mtu hukuchukulia jinsi wewe unavyojichukulia!
Sijui kama ni kawaida kutoa namba kirahisi namna hiyo(kama ndivyo basi UMEZOEA) lakini kama siyo
-Ilikuwaje hadi mkawa na maongezi ya kupeana namba?
-Ulipompa namba ulitegemea itakuwaje?
-Najua dunia imeharibika lakini, sidhani kama mtoto(<18) anaweza kumuomba namba mtu mzima bila huyo "mtu mzima" kujirahisisha!
-Inakuwaje hilo jambo likuthiri kisaikolojia kama huna muda nalo?!
 
leo asubuh nikiwa natoka kariakoo c nikapanda daladala na katoto ambacho nahic kina miaka kama kumi na nne hiv.tulikuwa tumekaa siti moja baada ya kufika manzese mtoto kwa uwoga c akaniomba namba ya cm nami kweli nikampa! Sasa jion hii nipo geto c kakapiga! Eti kaka mi nimekupenda ghafla naomba tuwe wapenz! Jaman maomben ushaur nimeathirika kisaikolojia.

mwambie we mtoto mi ni babaako mdogo
 
Baada ya mda watu watakushudia upo sehem ambapo juu kuna picha ya Nyerere na picha ya rais huku ukisikia sauti "miaka 30 jela kw kubaka katoto" af ikimaliziwa na NYUNDO ya hakimu mkazi kisutu. "Paaaaaa.....!"

Mkuu umeniwahi,
Nilitaka kutoa maoni yanayofanana na yako.

Ushauri kwa huyo jamaa:-
Sheria ya nchi inasema kufanya mapenzi na msichana chini ya miaka 18 ni kubaka (hata kama wote wawili mmekubaliana kwa hiari yenu) !!!!!
Na zaidi ya hapo Usizini !!!!
 
Hapo huyo keshatoka unyagoni, anataka kupractise. Ni utoto tu akikua ataacha. Dawa we kaambie hata wewe umekapendaga kajitulize, kasome sana, kakimaliza chuo UTAKAWOWAGA!!!!!!!!!!!! LOL! Katasomaje. Hata mimi i had a crush kwa my physics teacher (Alikua katoka chuo anawakaje sasa!!!), akaniambia nikimaliza chuo nimtafute if i still love him! Hahahhaaaaa! Balehe mbaya sana.
 
Hiyo ndiyo dunia yaleo mweleze atulia mapenzi ataya kutatu? Hayaishagi papara zake zaweza kusitisha ndoto zake
 
Hujasimulia mkasa mzima ulivyokuwa hadi ukaombwa namba ya simu. Haiwezekani tu uombwe namba ya simu bila kuonyesha kutaka mazoea na Kadada hako! Nakushauri uache mara moja tabia ya kutaka kuzoea watu usiowajua hata kama unawaona ni watoto, mjini hapa, utatolewa roho.
 
Hapo huyo keshatoka unyagoni, anataka kupractise. Ni utoto tu akikua ataacha. Dawa we kaambie hata wewe umekapendaga kajitulize, kasome sana, kakimaliza chuo UTAKAWOWAGA!!!!!!!!!!!! LOL! Katasomaje. Hata mimi i had a crush kwa my physics teacher (Alikua katoka chuo anawakaje sasa!!!), akaniambia nikimaliza chuo nimtafute if i still love him! Hahahhaaaaa! Balehe mbaya sana.

physics teacher chuo kipi?
 
Mkuu theone inawezekana vipi huyu jamaa apande gari asubuhi halafu apewe namba na huyo demu kisha jioni demu ampigie simu. ina maana jioni imeshafika tayari au computer yangu ina shida
 
Last edited by a moderator:
Mkuu umeshindwa kazi embu PM namba zake kwangu kanaonekana kazoefu hako ooolalala......!
 
leo asubuh nikiwa natoka kariakoo c nikapanda daladala na katoto ambacho nahic kina miaka kama kumi na nne hiv.tulikuwa tumekaa siti moja baada ya kufika manzese mtoto kwa uwoga c akaniomba namba ya cm nami kweli nikampa! Sasa jion hii nipo geto c kakapiga! Eti kaka mi nimekupenda ghafla naomba tuwe wapenz! Jaman maomben ushaur nimeathirika kisaikolojia.

Nalo hili unataka ushauri? nawe malaya tu...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom