jaman dunia imeisha

Kashukia manzese! kweli manzese nomaaa!


I can see something here..
Moja ni katoto,pili umekutana nako asubuhi kanatoka kariakoo kakashukia manzese,kanatoka wapi kanaenda wapi..??Manzese kuna shule yeyote,sidhani.Inawezekana kabisa kuwa ni vile vitoto vinavyojipanga Buguruni mawindoni vimebuni mbinu mpya ya kuwanasa wateja kwa kutumia muonekano wao wa kitoto.Na kwangu hapo sioni utoto wowote zaidi ya kahaba aliyekubuhu na mwenye jukumu la kulisha familia kama si yake basi ya mzazi wake.Tuwe makini wanaume,hizi shida za maisha na uvivu wa baadhi ya wadada zimepelekea siku zote wanabuni mbinu ya kutuibia kwa neno nimekupenda na mwishowe wanatuacha tukilia na kujuta..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom