Jamaa na wachawi

TANMO

JF-Expert Member
Apr 12, 2008
11,511
11,271
Kuna jamaa alilala juu ya mti
kumbe chini
ya mti ule wachawi
wanakutana,wali pofika
wakaanza kujitambulisha mimi
mchawi
kutoka Sumbawanga mimi
mchawi kutoka
Tanga, mimi
kutoka Naigeria, mimi kutoka
Congo. Jamaa anawasikiliza tu
akatokea mmoja
akasema mimi mchawi kutoka
Afghanistani,, jamaa
akasema mmh huyu atajilipua
sasa ivi
hawachelewi hawa. Tutakufa
sote, kwa
hofu akaruka puu chini. Nae
akajitambulisha mimi ni mchawi
toka
MBINGUNI. Wachawi wote
mbioo!!
 
walikimbia baada ya kujua ni mchawi kutoka kwa mungu. hii inatisha kweli.
 
AAAAaaaaaaaaah hahahaha ahahaha aaaah ahahahahahaha...! Mpaka machozi yamenitoka hahahahaah! Mchawi toka kwa Sir God hahahahaah!
 
Back
Top Bottom