Jamaa katembea na mama mwenyenumba kimenuka ushauri

Jamaa katembea na mama mwenyenumba kimenuka ushauri

Yani mtu unaambiwa usitembee na mke wa mtu lakini wewe hutaki, unajifanya wewe ndo kidume sana, handsome zaidi ya wengine, mjanja wa mjini n.k. Acha apigwe tu, manake hakuna namna nyingine sasa, na mimi nasema huyo contractor ampige tu manake tumechoka sasa
binadamu si malaika makosa yapo na yameshatokea ilichobaki ni kuona jinsi gani ya kusolve ishu
 
Yani mtu unaambiwa usitembee na mke wa mtu lakini wewe hutaki, unajifanya wewe ndo kidume sana, handsome zaidi ya wengine, mjanja wa mjini n.k. Acha apigwe tu, manake hakuna namna nyingine sasa, na mimi nasema huyo contractor ampige tu manake tumechoka sasa

pole sana mheshimiwa
 
aaah mi sioni kosa la huyo jamaa kwa kuwa hata huyo contractor naye anaiba kwa hiyo mwizi kuibiwa sio mbaya,ila nahisi kwa hasira za kuibiwa naona kama jamaa tindikali itamhusu aisee inabidi akatoe taarifa polisi mapemaaaa.
 
mwbie aende apange maeneo ya polisi iwe rahisi kukimbilia polisi pindi hali ikimbadilikia.huyu lazima apigwe tu
 
inzi kufia kwenye kidonda si haramu,ila jamaa uliyekula mali za watu pole sana na nahisi kama tindikali itakuhusu be careful nenda katoe taarifa polisi au jipange uombe msamaha kwa 'contractor' mke wa mtu ni sumu utakuja kukoj.....oa dagaa.
 
ahaaa kumbe ni mke mdogo wa mkandarasi...labda bibie anataka kuwa mke mkubwa wa mpangaji,,,mkandaras angetulia tu cz mke mdogo nae anataka status..
 
mh,hii imemkalia pabaya...jamaa yako alipitiliza yaani hadi kutumia gari alonunuliwa na mmewe? He will pay the price....hapo ni kukimbia tu kwanza kama anaweza,ila kama anaroho ngumu amface mwenye mali as if hajatoka na mamwenyenyumba maana hamna ushahidi hajakamatwa red handed

Nimekukubali mtu wangu..ushahidi hakuna kwa bibi hakunaga makombo ni kama sahani vile ikishaoshwa mwingine naye ala bila wasi.
 
aaah mi sioni kosa la huyo jamaa kwa kuwa hata huyo contractor naye anaiba kwa hiyo mwizi kuibiwa sio mbaya,ila nahisi kwa hasira za kuibiwa naona kama jamaa tindikali itamhusu aisee inabidi akatoe taarifa polisi mapemaaaa.
Mkuu,
Mkandarasi haibi, maana amewekeza mtaji wa kushiba kwa huyu bibi.
Yawezekana hata familia yake wanajua kuhusu nyumba hiyo!
Ogopa mtu anapowekeza hivo, halafu wewe ujifanye muosha-kinywa tu!
 
Apo jamàa ahame chap kw haraka,poli hawatasaidia km jamaa likimuua nalo likajiua,
 
Apo jamàa ahame chap kw haraka,poli hawatasaidia km jamaa likimuua nalo likajiua, simlaum jamaa mana àta ningekuw mm ningenasa tu kw mama kodi si mchezo
 
aaah mi sioni kosa la huyo jamaa kwa kuwa hata huyo contractor naye anaiba kwa hiyo mwizi kuibiwa sio mbaya,ila nahisi kwa hasira za kuibiwa naona kama jamaa tindikali itamhusu aisee inabidi akatoe taarifa polisi mapemaaaa.
Huyo ni mke mdog halali kabisa wa huyo contractor,
 
Kuna jamaa yangu amepata janga,
Amepigiwa simu na baba mwene nyumba wake akamtaarifu kwamba amepata taarifa zenye ushahidi kwamba yeye huyo mshkaji wangu anatembea na mke wake, na akirudi lazima amtoe maini . Huyo jamaa mwenye nyumba ni contractor kwa sasa yupo safarini.
Jamaa kweli amekiri alikuwa anatoka na huyo mama kwa muda kabla hata hajaoa. Jamaa anasema huyo mama ndiye aliyejilengesha kwake, jamaa kwa tamaa na kushindwa uzalendo akamkubali, Mama mwenyewe hata sio mzuri sana anamiaka kama 30 na amezaa na huyo mume wake watoto 2.
Jamaa yangu ameshaishi kwa huyo mama zaidi ya miaka 2 amerenew juzijuzi tu mkataba wake wa mwaka wa 3.

Huyo mama ni mke mdogo wa huyo mkandarasi ambaye amemjengea nyumba ya ukweli maeneo ya kihonda huku moro ambayo ina servant quarter kubwa kwa nyuma ambayo ndio amepangishiwa mshakji wangu.
Huyo mkandarasi anasafiri sana na ana mke mkubwa mwingine pia hivyo mara nyingi haji hapo kwa huyo bi mdogo, ila anamgharamia kila kitu na amempatia harrier ya kutembelea,
Kuna kipindi huyo jamaa yangu kabla hajanunua gari yake nilikuwa namuona na hiyo harrier ya huyo mama alikuwa anakuja nayo hata job na kushinda nayo kama yake ,huyo bi mdogo ni mama wa nyumbani hiyo gari haitumii sana, wala hapendi kuendesha, huyo mshkaji wangu alikuwa pia kama dreva wa huyo mama,mida ya jioni akitoka job au siku nyingine akiwa off alikuwa anampeleka huyo bi mdogo sokoni na saloon,

Mshakji ndio ameoa hivi karibuni miezi kama 3 imepita amemuoa aliyekuwa mchumba wake na anaujauzito wa miezi 7.
Huyo mke wa mshkaji naye amepata hizo taarifa na amekasirika sana amemwambia mshkaji ampe nauli arudi kwao songea.
Jamaa ni mtumishi ameajiriwa kwenye idara ya serikali.
Huyo jamaa yangu ameghafirika sana hajui jamaa anaushaidi gani na atarudi lini, na ana hofu ya maisha yake, ana mpango wa kukimbia ahame mkoa kwa kuogopa, huyo bi mdogo naye kamchunia sijui naye kapigwa mkwara na mume wake.
Tumemshauri atulie amuombe mke wake msamaha na atafute nyumba nyingine wahame hapo kwenye hiyo nyumba haraka na ikiwezekana aende kuripoti polisi. Akikimbia anaweza kufukuzwa kazi.
Ushauri wa ziada kwa huyu ndugu yetu manake anaogopa sana.

haya sasa
 
nyuki amewachokoa mwenyewe, sa kelele za nin? Kwani hakujua wanang'ata? Atulie ajipange afkrie namna ya kunusuru ndoa yake aliyoiharbu kwa tamaa zake na namna ya kuvumilia au kukwepa kipgo kutoka kwa contractor.
 
Huyo jamaa atauawa. Mwambie ahame nyumba. Ama sivyo jamaa atalisuka mabaunsa watamla 0713.. Halafu wanaume hatujali kabisa hisia za mademu, yaani huyo jamaa ambaye dem wake analiwa hata hafikirii kwamba huyo mwanamke na yeye huwa anashikwa na nye-ge kipindi chote ambacho yeye anakuwa kwa mkewe?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom