Mgeni wa Jiji
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 10,484
- 19,989
Mama mkwe below 45 akijichetua kwanini asiliwe sasa?, si ndio kuja kuitwa mwanaume wa Dar. Piga mzigo labda wametumana na mwanaye wakujaribu uwezo Mkuu
duuh ila maisha haya yanakoelekea yaani hata kumuonea huruma mwanae aliyemzaa..maana hapo aliyemuanza ni mama mkweUtashangaa na itakushtaajabisha lakini ndio yametokea.
Huyu brother mke wake ni mtu wa Tanga ,na yeye ni mtu wa Kaskazini,ila maisha yake ni Darslam.
Ni kipindi kirefu tangu alivyo oa,hakufika kwa wakwe zake hii ni kutokana na jamaa kuwa busy na kazi.
Kutokana na kipindi kirefu mama kutomuona binti yake aliamua kufunga safari ya kwenda Dar kuwasalimia.Na hapo ndipo mambo yakabadilika.Mama akawa amempenda mkwe wake na kijana nae kashindwa kuvumilia wakajikuta wamekuwa wapenzi.Mapenzi yamenoga mama katiwa mimba na Mama kwenda Tanga hataki.Mke bado hajashtukia mchezo.
Tumpe ushauri huyu ndugu yetu.mimi binafsi nimeshindwa chakumshauri ndio maana nimelileta kwenu.
people these days are ruthlessMama mkwe below 45 akijichetua kwanini asiliwe sasa?, si ndio kuja kuitwa mwanaume wa Dar. Piga mzigo labda wametumana na mwanaye wakujaribu uwezo Mkuu
Basi aminia mkuu dingi la madingiindio baba la baba kutoka chugastan
😀😀😀😀😀 hii sijui tuiitejeKuna vitu ukishindwa kusikitika unacheka kwa uchungu.
Sasa wakiwa kwenye umalaya mama mkwe alikuwa analia vip?...anamuita baby, my love, mwanangu ama?😀😀😀
Watu tunatofautiana, menopause wengine inakuja 35 kwa wengine 55Wengine wana 55 na bado wanazaa sasa kwao inakuwaje na menopause ni forty five...???
Sio kwamba jamaa atapata mtoto wake na shemeji pia?Jamaa anaenda kupata mtoto ambaye atamuita baba mkwe
Kwan kosa langu lipo wapi boss wangu?Unatumia tecno wewe si buree mbn una haraka ya kuandika kama mkojo wa asubuh ?
Polee usimind ni utani.
Bora umejua mkuu maan nimesoma Mara mbili nikijua ile D ya kiswahili sio yangu,nikajua kumbe niliipata kihalali kabisaMbona pia hajakosea niwewe hujaelewa lugha aliyo tumia
Naona unajiuliza maswal mengi mkuu,,ha ha ha itakua alikua anamuita baby mkweKuna vitu ukishindwa kusikitika unacheka kwa uchungu.
Sasa wakiwa kwenye umalaya mama mkwe alikuwa analia vip?...anamuita baby, my love, mwanangu ama?![]()
Mimi nashauri weka picha ya huyo mama mkwe ili nitoe ushauri. Usije kutaa mam mkwe. Alikuwa mtam zaidUtashangaa na itakushtaajabisha lakini ndio yametokea.
Huyu brother mke wake ni mtu wa Tanga ,na yeye ni mtu wa Kaskazini,ila maisha yake ni Darslam.
Ni kipindi kirefu tangu alivyo oa,hakufika kwa wakwe zake hii ni kutokana na jamaa kuwa busy na kazi.
Kutokana na kipindi kirefu mama kutomuona binti yake aliamua kufunga safari ya kwenda Dar kuwasalimia.Na hapo ndipo mambo yakabadilika.Mama akawa amempenda mkwe wake na kijana nae kashindwa kuvumilia wakajikuta wamekuwa wapenzi.Mapenzi yamenoga mama katiwa mimba na Mama kwenda Tanga hataki.Mke bado hajashtukia mchezo.
Tumpe ushauri huyu ndugu yetu.mimi binafsi nimeshindwa chakumshauri ndio maana nimelileta kwenu.
Huyo mama mkwe hajafika tu menopause mpk kapata mimba. Hiyo ni aibuu