Jamaa kampa mimba Mama Mkwe,

Jamaa kampa mimba Mama Mkwe,

dah hii ngumu kumeza, sasa ungiweka detailed kidogo ili inoge maana iko juujuu tu af ngumu hapa hata ushauri mimi sina, ila alianzaje aligegeda wapi bafuni au sebule au kitandani had mimba ikajaa....

tehetehetehe najua watu wwatasem ananekana napenda story za ngono...baada ya vurufu za kazi kuchoka ni burudani tu na JF ni kisiwa cha elimu na burudani
 
Kuna vitu ukishindwa kusikitika unacheka kwa uchungu.
Sasa wakiwa kwenye umalaya mama mkwe alikuwa analia vip?...anamuita baby, my love, mwanangu ama?😀😀😀
Alikuwa analia uummmm beebiiii mwananguuuiiwwwwh my loooooveeew ummmmm mwache mwanangu unigegede mimiiiiii uuuuuuhhhhhh tamuuuuu mmmmmmm
 
Sasa mbona mkanganyiko mkubwa.yaani mke mwenzie wa mwanamke ni mama yake mzazi?

Mimi nadhani huyo labda siyo mama mzazi wa mwanamke atakuwa ni mama wa kambo hivyo amefanya kuvuluga tuu hiyo ndoa

Huenda mke naye alishawahi kutembea na baba yake .so hiyo ni kulipa kisasi

au ni mambo ya giza giza hapo.kwamba mambo ya mila ila kuondoa mkosi flan.so ni issue iliyopangwa na familia

Jamaa atakuwa alilogwa kwanza.haingii akilini
 
Huyo mtoto atakuwa shemeji wa huyo jamaa.

Halafu, watoto wa huyo shemeji watamuita jamaa babu
 
Tanga raha, hukunaga hiyana.
 
Kwa umri wao naona tukiwashauri ni kupoteza muda tu.

Wapambane na hali zao kwani siku zote wanasemaga isiyemfaa akili yake basi utamdhuru ujinga wake. Hivyo matokeo ndio hayo.
 
Wasuruhishwe mama na mwanaye.
Wasipoelewana kutatokea mpasuko wa familia ambao hautakaaa utengamae.

Waiter nipe maji nisubirie Afcon ya saa 2 usiku.
 
Unamaanisha mama mkwe huyu huyu,mama wa mke?
 
Mama mkwe hana mume?. Kama hana mume ni single mother aendelee tu kugegeda wote. Huo ndio UANAUME sasa. Si mnasemaga wanaume siku hizi dhaifu...! Unajiita mwanaume huku hujawahi kupambana na tukio lolote la kupambana? Huyu ndio ndio DUME
 
Back
Top Bottom