Jamaa kampa mimba Mama Mkwe,

Jamaa kampa mimba Mama Mkwe,

Hahaha ukinaswa vilivyo hata miguu hautorusha......kwa hiyo simlaumu jamaa, ila kumbukeni kuna raha pia, kuendesha, 'semi' tela, kulikoni 'viaisitii'. Kusikilizia mlio wa gari kubwa likichanachana kitonga, si mchezo.
 
Utashangaa na itakushtaajabisha lakini ndio yametokea.
Huyu brother mke wake ni mtu wa Tanga ,na yeye ni mtu wa Kaskazini,ila maisha yake ni Darslam.
Ni kipindi kirefu tangu alivyo oa,hakufika kwa wakwe zake hii ni kutokana na jamaa kuwa busy na kazi.

Kutokana na kipindi kirefu mama kutomuona binti yake aliamua kufunga safari ya kwenda Dar kuwasalimia.Na hapo ndipo mambo yakabadilika.Mama akawa amempenda mkwe wake na kijana nae kashindwa kuvumilia wakajikuta wamekuwa wapenzi.Mapenzi yamenoga mama katiwa mimba na Mama kwenda Tanga hataki.Mke bado hajashtukia mchezo.

Tumpe ushauri huyu ndugu yetu.mimi binafsi nimeshindwa chakumshauri ndio maana nimelileta kwenu.
Duuuh, hapo sina cha kishauri zaidi ya kusema kuwa Mungu awape Roho zenye ustahimilivu. Bifu kati ya mama na mtoto(Wameshare mme), huku bifu kati ya baba mkwe na mtoto
 
Kuna vitu ukishindwa kusikitika unacheka kwa uchungu.

Sasa wakiwa kwenye umalaya mama mkwe alikuwa analia vip?...anamuita baby, my love, mwanangu ama?😀😀😀
Haha..

Kupanga ni kuchagua .in jiwez voice

Mahaba ya Tanga hayo ..karibu Tanga luckyline
 
Ndo wewe ulie mtwanga mimba mkweo,waoe tu wote!
Utashangaa na itakushtaajabisha lakini ndio yametokea.
Huyu brother mke wake ni mtu wa Tanga ,na yeye ni mtu wa Kaskazini,ila maisha yake ni Darslam.
Ni kipindi kirefu tangu alivyo oa,hakufika kwa wakwe zake hii ni kutokana na jamaa kuwa busy na kazi.

Kutokana na kipindi kirefu mama kutomuona binti yake aliamua kufunga safari ya kwenda Dar kuwasalimia.Na hapo ndipo mambo yakabadilika.Mama akawa amempenda mkwe wake na kijana nae kashindwa kuvumilia wakajikuta wamekuwa wapenzi.Mapenzi yamenoga mama katiwa mimba na Mama kwenda Tanga hataki.Mke bado hajashtukia mchezo.

Tumpe ushauri huyu ndugu yetu.mimi binafsi nimeshindwa chakumshauri ndio maana nimelileta kwenu.
 
Ama kweli dunia inakwenda kwa spidi kali sana mwisho wa dunia tutaona mengi sana
 
Utashangaa na itakushtaajabisha lakini ndio yametokea.
Huyu brother mke wake ni mtu wa Tanga ,na yeye ni mtu wa Kaskazini,ila maisha yake ni Darslam.
Ni kipindi kirefu tangu alivyo oa,hakufika kwa wakwe zake hii ni kutokana na jamaa kuwa busy na kazi.

Kutokana na kipindi kirefu mama kutomuona binti yake aliamua kufunga safari ya kwenda Dar kuwasalimia.Na hapo ndipo mambo yakabadilika.Mama akawa amempenda mkwe wake na kijana nae kashindwa kuvumilia wakajikuta wamekuwa wapenzi.Mapenzi yamenoga mama katiwa mimba na Mama kwenda Tanga hataki.Mke bado hajashtukia mchezo.

Tumpe ushauri huyu ndugu yetu.mimi binafsi nimeshindwa chakumshauri ndio maana nimelileta kwenu.
Uongo
 
Back
Top Bottom