Jamaa kampa mimba Mama Mkwe,

Jamaa kampa mimba Mama Mkwe,

Mpe hongera sana kamanda ametuwakilisha vizuri sio unategwa unajifanya hutaki shauri yako utaitwa hanisi
 
Dunia inakwenda kasi sana,ila hakuna namna ikitengwa wewe kula,watajuana wenyewe japo Tanga sasa imezidi,,,
Wangese wengi Ta...
Wanawake wangese Ta...inaongoza haina kuomba unateleza tu mtaroni.
 
Huyo mama mkwe inaonekana ni kifaa kuliko hata mwanae, kula baba huna zambi hata kdogo mali yako hiyo
 
Utashangaa na itakushtaajabisha lakini ndio yametokea.
Huyu brother mke wake ni mtu wa Tanga ,na yeye ni mtu wa Kaskazini,ila maisha yake ni Darslam.
Ni kipindi kirefu tangu alivyo oa,hakufika kwa wakwe zake hii ni kutokana na jamaa kuwa busy na kazi.

Kutokana na kipindi kirefu mama kutomuona binti yake aliamua kufunga safari ya kwenda Dar kuwasalimia.Na hapo ndipo mambo yakabadilika.Mama akawa amempenda mkwe wake na kijana nae kashindwa kuvumilia wakajikuta wamekuwa wapenzi.Mapenzi yamenoga mama katiwa mimba na Mama kwenda Tanga hataki.Mke bado hajashtukia mchezo.

Tumpe ushauri huyu ndugu yetu.mimi binafsi nimeshindwa chakumshauri ndio maana nimelileta kwenu.
mbona easy sana, mama aongee na bintiake wote wanawake wayamalize tu, tena walale kitanda kimoja kuepusha kuchafua vitanda vingine waendeleze dhambi yao.
 
Bado tu hamjaamka na kujiuliza kwanini Baba zetu Wahenga walikuwa hawatupatii nafasi kabisa kuwazoea Dada na Mama zetu kiukaribu sana hadi dkk hii?

Ke ni kiumbe dhaifu haijalishi awe Dada, Mama wala shangazi, Me tujitahidi kutumia kanuni za Baba zetu ili tuepukane na balaa kama hili.
 
Utakuta mama mkwe bado mbichi kijana anavutia kama kasichana kweny dp yako unashindwa kujizuia wanaume tunapitia mengi nyie hamjui tu
Hahaaaa, mnajiendekeza tuu unashindwa kweli kujizuia kwamba hata kama anavutia ni mama mkwe ukaogopa, wanaume nyiee.kuchungulia sehemu za siri alizotokea mkeo
 
Back
Top Bottom