Tyrone Kaijage
JF-Expert Member
- Jul 19, 2021
- 1,611
- 3,342
Nimekatiza kwenye mtandao huko nimekutana na hii kitu. Inaokoa muda na inapunguza matumizi ya nishati. Ingawa ypo ya kuzingatia kwenye upishi huo
DahWazo zuri hasa kwa maskini
Theoretically sawa,ila kiuhalisia haikubali hiyo.Ugali Na Mboga Unapika Pamoja Hapo Hapo
Unaota wewNi nzuri kwa familia zenye mchanganyiko wa waislam na wakristo.
Upande mmoja unapika samaki upande wa pili kitimoto
Kitakachowahi kuiva kinapakuliwaTheoretically sawa,ila kiuhalisia haikubali hiyo.
Hiyo sufuria inacomplicate hasa.
Maana utapika mboga itaiva huku ugali bado kuiva,hiyo itakufanya ushindwe kuipua mboga kwa sababu ugali haujaiva,
kitendo cha kuzidi kuacha mboga hiyo jikoni inazidi kukauka(kukakamia) na mwishowe kukauka kabisa na mchuzi wote kupotea hata kuungua,hiyo ni hasara kubwa sana.
na wakati wa kupika ugali wako huku upande ungine una chakula kingine kwanza wakati wa kusonga hapo hapatakuwa na ile balance kwa sababu sufuria haina shape ya mduara,itakuwa ngumu sana kusonga ugali
Labda sufuria hiyo upikie vykula ambacho vitaiva kwa pamoja.
Ila usifunikeNi nzuri kwa familia zenye mchanganyiko wa waislam na wakristo.
Upande mmoja unapika samaki upande wa pili kitimoto
Ametishaa.......Kudos kwakeNimekatiza kwenye mtandao huko nimekutana na hii kitu. Inaokoa muda na inapunguza matumizi ya nishati. Ingawa ypo ya kuzingatia kwenye upishi huo
View attachment 1980686
Sorry Mkuu, Huyu pia ameiga. Hiyo sufuria imegundulika zamani sana enzi za vita vya dunia huko. na ilikuwa ikitumika kupunguza gharama za nishati. Tumtambue kwa kuhuisha hii idea ila sio mvumbuzi.Wachina wataiga tuvute SUBIRA