Kobello
JF-Expert Member
- Feb 20, 2011
- 9,295
- 9,067
Hauko serious naye. La sivyo usingesema maneno haya.Ndio ni mzuri ila sio sana
Jamaa naye anaweza kumind kwa sababu unacheza viwanja vya karibu bila kumshirikisha, inaonyesha ni mtu mwenye mambo ya kishamba ya kupokea simu za watu, kuchunguzachunguza etc