Jamaa ananikasirikia kumpenda shemeji yake

Jamaa ananikasirikia kumpenda shemeji yake

kweli Dunia imevaa bukta aisee,kinachomkasirisha hapo ni nini sasa?
 
ila twende mbele na kurudi nyuma yawezekana tabia yako anaifahamu fika,so,anaona utamuharibia CV kwa mkewe,hatuwezi jua bwana!
 
Hutokea sana mwanaume ukishaoa unagundua mkeo kwao Ndio the wa mwisho kwa uzuri ...mashemeji ni so hot ..hapo wivu sasa

Haaaaahaaaa lol

Yaani kugundua mkeo ndo wa mwisho kwa uzuri??


Hahahaaa
 
Back
Top Bottom