Jamaa anamfuatilia mke wangu

Kuoa single mothers ni sawa na kujenga kwenye kiwanja cha mgogoro. Pole
SIMAMISHA UJENZI
Haaa haaa ni kama miaka kumi unahangaika na barabara yakuingia kwako [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mmefikia wapi
 
Mkuu hapo unahitaji kuwa Legend,, kuwa mwanaume pekee haitoshi...

Kaa na mkeo then make decision ambayo itafanya mkeo aachane kabisa na Baba mtoto... Mpelekee mwanae alee.. Ukate mzizi wa fitina
 
Mchimbe mkwara 😎 akirudia tena kamfungulie RB umpe kesi
Sure.Kuna tiss mmoja alianza kumlia misele wife.baada ya mm nami kukusanya na kujiridhisha na intelijensia zangu za khtosha Nika deal na wife kisha nikampandia hewan mshkaji nikamchana live na nikamchimba mkwara mzito.Akajaga later ku appology na uhusiano ukaishia hapo.Fala sana yule mjinga ..nikaamin kwel kule wamejaa makada tu
 
Yes Mupenzi..uwe na siku njema yenye baraka tele..Damu ya Yesu ikifunike mpendwa wangu.
Amin ngoja nipambane tupate mkate wa Kila siku. Tule tupate nguvu jioni tukung'ute siafu kisawasawa🤣🤣🤣🤣
 
Mshauri mke wako amkubalie jamaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…