Jamaa anamfuatilia mke wangu

Rodriquz

Member
Aug 13, 2020
37
139
Ni single mother wa mtoto mmoja, jamaa anamfuatilia sana akitaka warudiane lakini mke wangu amekataa kabisa ila jamaa hakati tamaa.

Alimtelekeza toka akiwa na mimba miaka mitano imepita ndio amerudi na kuanza kumsumbua huyu mke wangu.

Mimi kazi zangu ni za kusafiri kwahiyo muda mwingine nakuwa sipo nyumbani, hata baada ya mke wangu mimi kuzaa naye watoto jamaa bado tu hakomi

Nifanyeje?
 
Kama unaishi nae sio single mother tena huyo, ni Mkeo a.k.a Mama Watoto wako...hivyo sema "Jamaa anamfuatilia Mama Watoto/Mke wangu"..
 
Mambo mengine yapo so easy hapo chukuwa line ya simu ya wife iweke kwenye simu yako. Chat na hilo jambazi nganganizi jifanye wewe ndio kama wife mpe appointment ya kukutana. Nenda na machali wako mkamateni mpeleke ghetto usimfire mpigeni mbrashi tu. Hatosumbua tena😉😂😂


Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Back
Top Bottom