Jamaa anamfuatilia mke wangu

Jamaa anamfuatilia mke wangu

Ni single mother wa mtoto mmoja, jamaa anamfuatilia sana akitaka warudiane lakini mke wangu amekataa kabisa ila jamaa hakati tamaa. Alimtelekeza toka akiwa na mimba miaka mitano imepita ndio amerudi na kuanza kumsumbua huyu mke wangu.

Mimi kazi zangu ni za kusafiri kwahiyo muda mwingine nakuwa sipo nyumbani, hata baada ya mke wangu mimi kuzaa naye watoto jamaa bado tu hakomi

Nifanyeje?
Mmefikia wapi
 
Mkuu hapo unahitaji kuwa Legend,, kuwa mwanaume pekee haitoshi...

Kaa na mkeo then make decision ambayo itafanya mkeo aachane kabisa na Baba mtoto... Mpelekee mwanae alee.. Ukate mzizi wa fitina
 
Mchimbe mkwara 😎 akirudia tena kamfungulie RB umpe kesi
Sure.Kuna tiss mmoja alianza kumlia misele wife.baada ya mm nami kukusanya na kujiridhisha na intelijensia zangu za khtosha Nika deal na wife kisha nikampandia hewan mshkaji nikamchana live na nikamchimba mkwara mzito.Akajaga later ku appology na uhusiano ukaishia hapo.Fala sana yule mjinga ..nikaamin kwel kule wamejaa makada tu
 
Yes Mupenzi..uwe na siku njema yenye baraka tele..Damu ya Yesu ikifunike mpendwa wangu.
Amin ngoja nipambane tupate mkate wa Kila siku. Tule tupate nguvu jioni tukung'ute siafu kisawasawa🤣🤣🤣🤣
 
Ni single mother wa mtoto mmoja, jamaa anamfuatilia sana akitaka warudiane lakini mke wangu amekataa kabisa ila jamaa hakati tamaa. Alimtelekeza toka akiwa na mimba miaka mitano imepita ndio amerudi na kuanza kumsumbua huyu mke wangu.

Mimi kazi zangu ni za kusafiri kwahiyo muda mwingine nakuwa sipo nyumbani, hata baada ya mke wangu mimi kuzaa naye watoto jamaa bado tu hakomi

Nifanyeje?
Mshauri mke wako amkubalie jamaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom