Hapo alimpa dawa tena yakumwingia sawa sawa!Nina rafiki yangu alikupendana na mdada ambae ametoka kutengana na mwanaume wake.
Jamaa akaanza msumbua bi dada akiwa tayari anaishi na rafiki yangu. Rafiki yangu akawasiliana nae, jamaa akajitetea kuwa anafanya hivyo sababu anataka kujua hali ya watoto hakuna ubaya mwingine....
Mtoto wa kwanza ana miaka 6, wa pili ana mwaka na miezi. Jamaa akasubiria mtoto amalize muda wa kunyonya. Huku jamaa akisumbua sana. Mtoto alipotimiza miaka miwili na nusu, jamaa akaona huu ufala.
Jamaa alikuwa bado anaendelea kumsumbua bibie na kubembeleza. So jamaa akamwambia mwanamke awaandae watoto awapeleke kwa baba yao.
Wakaenda na house girl, jamaa akawapokea vizuri, yule dada akalala hapo hapo akiwa na watoto na house girl, walilala chumba tofauti na jamaa asubuhi jamaa akatoka na kwenda kazini akiahidi atarejea mchana mapema ili waketi na kuongea....
Alipoondoka tu yule bi dada akampa maagizo beki tatu kuwa awatazame watoto vizuri yeye anarejea. Akaondoka akarudi home kwake.
Jamaa kurejea anakuta bi dada hayupo na sim yake haipatikani, kumbe amebadili namba kabisa. Mshikaji akampigia mwanaume(aliomba namba kwa beki 3) alipoona hampati bi dada hewani.
Kumpigia jamaa na kujitambulisha jamaa akamwambia unataka nini, jamaa oooh mbona bibie amewaacha watoto na watoto wanahitaji malezi ya mama, akawambia ulikuwa unasumbua kutaka kujua kuhusu watoto. Haya hao hapo upo nao, usimsumbue tena huyu mwanamke sio mkeo tena, na kuhusu malezi hao watoto hawanyonyi tena ni wakubwa wanakula chakula cha kawaida.
So pambana na watoto wako ulee maana ulikuwa unasumbua kisa watoto haya hao hapo na wewe ni baba yao, lea damu yako. Kama hauwataki tuandikishiane kabisa na iwe ni makubaliano kuwa hautaki hao watoto tena, nitalea mimi, na tutarekodi hadi video ukikubaliana kabisa na haya masharti kuwa hautakuwa tena katika maisha yao.... La si hivyo, hao hapo lea watoto wako acha kusumbua mtu asiye kuhusu tena.....
Jamaa akawa wabaridi balaa...... Kurudisha watoto hawezi, kukaa nao bila mwanamke anaona amekomolewa...... Balaa akawa nalo....
La! La! La! La!
Endelea kucheka cheka/kuzubaa watu watapasha viporo.






Nipe simu ya huyo bwana nimkanye haraka sanaNi single mother wa mtoto mmoja, jamaa anamfuatilia sana akitaka warudiane lakini mke wangu amekataa kabisa ila jamaa hakati tamaa. Alimtelekeza toka akiwa na mimba miaka mitano imepita ndio amerudi na kuanza kumsumbua huyu mke wangu.
Mimi kazi zangu ni za kusafiri kwahiyo muda mwingine nakuwa sipo nyumbani, hata baada ya mke wangu mimi kuzaa naye watoto jamaa bado tu hakomi
Nifanyeje?
Kwenye hilo zoezi mnialike na mie hata kushuhudia tuMambo mengine yapo so easy hapo chukuwa line ya simu ya wife iweke kwenye simu yako. Chat na hilo jambazi nganganizi jifanye wewe ndio kama wife mpe appointment ya kukutana. Nenda na machali wako mkamateni mpeleke ghetto usimfire mpigeni mbrashi tu. Hatosumbua tena😉😂😂
Ndukiiiii 🏃♂️🏃♂️🏃♂️
Kuoa single mother na hujaona kaburi la baba wa mtoto ni sawa na kujenga kwenye kiwanja chenye mgogoro.Kuoa single mothers ni sawa na kujenga kwenye kiwanja cha mgogoro. Pole
SIMAMISHA UJENZI
Tatizo lilianzia pale ulipokubali kuoa mwanamke mwenye mtoto bila kuona kaburi la baba wa mtoto
Wa hivyo wanahitaji vilainishi kweli??Nunua bahasha weka weka mafuta yakiwa yameambatana na ujumbe unaosomeka "achana na mke wangu"
Halafu mtumie huyo jamaa
HahahahaKuoa single mothers ni sawa na kujenga kwenye kiwanja cha mgogoro. Pole
SIMAMISHA UJENZI
Alafu unakuta na hilo lijamaa lipo humu linakupimiaNi single mother wa mtoto mmoja, jamaa anamfuatilia sana akitaka warudiane lakini mke wangu amekataa kabisa ila jamaa hakati tamaa. Alimtelekeza toka akiwa na mimba miaka mitano imepita ndio amerudi na kuanza kumsumbua huyu mke wangu.
Mimi kazi zangu ni za kusafiri kwahiyo muda mwingine nakuwa sipo nyumbani, hata baada ya mke wangu mimi kuzaa naye watoto jamaa bado tu hakomi
Nifanyeje?
Yna2 we dada nakupendaga hata sjui kwaniniEenheee ulimfanyaje???!!!
Hata ivyo kizuri kula na mwenzio
Hii reply yako naipiga screenshot kabisa.....🤗😊
Ahsante Sana.
😀😀😀Yani wewe khaaaHii reply yako naipiga screenshot kabisa.....