Jamaa anamfuatilia mke wangu

Jamaa anamfuatilia mke wangu

Trust ur woman. Then acheni kuponda single mums. If we are done we r done. Na tukipenda tunapenda
 
Mambo mengine yapo so easy hapo chukuwa line ya simu ya wife iweke kwenye simu yako. Chat na hilo jambazi nganganizi jifanye wewe ndio kama wife mpe appointment ya kukutana. Nenda na machali wako mkamateni mpeleke ghetto usimfire mpigeni mbrashi tu. Hatosumbua tena

Ndukiiiii

Dah
 
Kila siku kuna nyuzi zinatembea humu kuhusu hatari ya bomu la nyukilia la kuoa single maza, naamini sio wote wako namna ya kurudiana na x wao but chukua tahadhari unaweza kufa muda wowote.
 
m face jamaa mwambie kama anataka cha nguvu au atatoa mwenyewe? mtahadharishe huna ubaya na wala siyo kwa ubaya
 
Ni single mother wa mtoto mmoja, jamaa anamfuatilia sana akitaka warudiane lakini mke wangu amekataa kabisa ila jamaa hakati tamaa. Alimtelekeza toka akiwa na mimba miaka mitano imepita ndio amerudi na kuanza kumsumbua huyu mke wangu.

Mimi kazi zangu ni za kusafiri kwahiyo muda mwingine nakuwa sipo nyumbani, hata baada ya mke wangu mimi kuzaa naye watoto jamaa bado tu hakomi

Nifanyeje?
Single mum yeyote ni mke (mchumba) wa yule aliyemzalisha. Ilikuwaje ukakubali kuoa mke wa mtu?!!!
 
Wana nafuu maana ni rahisi kwa mwanaume aliyeachika kuoa fasta tu, tofauti na single mum
Hata wao huwafuata wazazi wenzao hata kama wameachana, kusema anaoa fasta nikwasababu yeye ndiye mtafutaji mwanamke mpaka amlee mwanaye , na hao masingle mother wanapofuatwa na wazazi wenzao hao hao wanaume wanakuwa na wake zao huko lakini anakuja kwa mzazi mwenzie, duniani hakuna usawa kabisa
 
Mwanaume huwa hakazanii kurudi kwa mwanamke kama haonyeshwi matumaini.

Mkeo bado anampa huyo mtu wake ishara kuwa akimkazia anaweza kumpa access tena hata ya kuwa anafanya nae kisirisiri.

Mimi nawaambia sana akina dada wenzangu kuwa ukishakuwa na mtu wako ambaye yupo serious na wewe then acha na futa kabisa mazoea na wanaume wote ambao ulishawahi jihusisha nao. Futa namba zao, wablock na wakikutafuta kuwa mkali kama mbogo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Well said..

Huyo single mom itakuwa bado ana interest na X wake. Ni tapeli.

Kama unampigia Ke cm hapokei, ukituma msg hajibu, baadaye anaku block, huo usumbufu utauendeleza vipi?
 
Ni single mother wa mtoto mmoja, jamaa anamfuatilia sana akitaka warudiane lakini mke wangu amekataa kabisa ila jamaa hakati tamaa. Alimtelekeza toka akiwa na mimba miaka mitano imepita ndio amerudi na kuanza kumsumbua huyu mke wangu.

Mimi kazi zangu ni za kusafiri kwahiyo muda mwingine nakuwa sipo nyumbani, hata baada ya mke wangu mimi kuzaa naye watoto jamaa bado tu hakomi

Nifanyeje?
Endelea kucheka nyani uvune mabua
 
Utanilipa shillingi ngapi nikimshikisha adabu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom