Ukilewalala
JF-Expert Member
- Feb 18, 2018
- 542
- 1,112
Yani acha tu...... Hivi haijawahi kutokea unampenda mtu hata humjui??😀😀😀Yani wewe khaaa
Kwenye list yangu kuna
Mama
Yna2
Beyonce Knowles
Khumbu na
Beatrice (huyu nipo radhi kumroga)
Yani acha tu...... Hivi haijawahi kutokea unampenda mtu hata humjui??😀😀😀Yani wewe khaaa
Popote ulipo kisses to you mamamia... Nikionaga post ama reply yako huwa nafurahi sana najihisi kufa kabisaInatokeaga..😂😂😂😂 ila umejua nifurahisha jioni hii 🤣🤣 Santee
Santee santeeee ahsanteeePopote ulipo kisses to you mamamia... Nikionaga post ama reply yako huwa nafurahi sana najihisi kufa kabisa
😍😍😍😍😍😍 Uliyenae akijichanganya tu mie nipo singo tu na nnasachi.... Nipo tayari kuvumilia matatizo yoteSantee santeeee ahsanteee
😘😘😘
🤣🤣🤣🤣Kashajichanganya tayari..singo but not rede tu mingolingiii😂😂😍😍😍😍😍😍 Uliyenae akijichanganya tu mie nipo singo tu na nnasachi.... Nipo tayari kuvumilia matatizo yote
Ha ha ha ha ha ha duh this is savage yaaniNina rafiki yangu alikupendana na mdada ambae ametoka kutengana na mwanaume wake.
Jamaa akaanza msumbua bi dada akiwa tayari anaishi na rafiki yangu. Rafiki yangu akawasiliana nae, jamaa akajitetea kuwa anafanya hivyo sababu anataka kujua hali ya watoto hakuna ubaya mwingine....
Mtoto wa kwanza ana miaka 6, wa pili ana mwaka na miezi. Jamaa akasubiria mtoto amalize muda wa kunyonya. Huku jamaa akisumbua sana. Mtoto alipotimiza miaka miwili na nusu, jamaa akaona huu ufala.
Jamaa alikuwa bado anaendelea kumsumbua bibie na kubembeleza. So jamaa akamwambia mwanamke awaandae watoto awapeleke kwa baba yao.
Wakaenda na house girl, jamaa akawapokea vizuri, yule dada akalala hapo hapo akiwa na watoto na house girl, walilala chumba tofauti na jamaa asubuhi jamaa akatoka na kwenda kazini akiahidi atarejea mchana mapema ili waketi na kuongea....
Alipoondoka tu yule bi dada akampa maagizo beki tatu kuwa awatazame watoto vizuri yeye anarejea. Akaondoka akarudi home kwake.
Jamaa kurejea anakuta bi dada hayupo na sim yake haipatikani, kumbe amebadili namba kabisa. Mshikaji akampigia mwanaume(aliomba namba kwa beki 3) alipoona hampati bi dada hewani.
Kumpigia jamaa na kujitambulisha jamaa akamwambia unataka nini, jamaa oooh mbona bibie amewaacha watoto na watoto wanahitaji malezi ya mama, akawambia ulikuwa unasumbua kutaka kujua kuhusu watoto. Haya hao hapo upo nao, usimsumbue tena huyu mwanamke sio mkeo tena, na kuhusu malezi hao watoto hawanyonyi tena ni wakubwa wanakula chakula cha kawaida.
So pambana na watoto wako ulee maana ulikuwa unasumbua kisa watoto haya hao hapo na wewe ni baba yao, lea damu yako. Kama hauwataki tuandikishiane kabisa na iwe ni makubaliano kuwa hautaki hao watoto tena, nitalea mimi, na tutarekodi hadi video ukikubaliana kabisa na haya masharti kuwa hautakuwa tena katika maisha yao.... La si hivyo, hao hapo lea watoto wako acha kusumbua mtu asiye kuhusu tena.....
Jamaa akawa wabaridi balaa...... Kurudisha watoto hawezi, kukaa nao bila mwanamke anaona amekomolewa...... Balaa akawa nalo....






Alafu unakuta na hilo lijamaa lipo humu linakupimiaNi single mother wa mtoto mmoja, jamaa anamfuatilia sana akitaka warudiane lakini mke wangu amekataa kabisa ila jamaa hakati tamaa. Alimtelekeza toka akiwa na mimba miaka mitano imepita ndio amerudi na kuanza kumsumbua huyu mke wangu.
Mimi kazi zangu ni za kusafiri kwahiyo muda mwingine nakuwa sipo nyumbani, hata baada ya mke wangu mimi kuzaa naye watoto jamaa bado tu hakomi
Nifanyeje?
Nayaweza yote katika bwana🤣🤣🤣🤣Kashajichanganya tayari..singo but not rede tu mingolingiii😂😂
Matatizo yangu yeye pekee aliweza yavumilia sijui kama utaweza😂😂😂😂
Mimi ni nani nisiseme AMENNayaweza yote katika bwana
Amen kabida.. Nikifa nkazaliwa tena tukutane ukubwani, naahidi ntakupenda kuliko majiMimi ni nani nisiseme AMEN
Amen kabida.. Nikifa nkazaliwa tena tukutane ukubwani, naahidi ntakupenda kuliko majiMimi ni nani nisiseme AMEN
Ni single mother wa mtoto mmoja, jamaa anamfuatilia sana akitaka warudiane lakini mke wangu amekataa kabisa ila jamaa hakati tamaa. Alimtelekeza toka akiwa na mimba miaka mitano imepita ndio amerudi na kuanza kumsumbua huyu mke wangu.
Mimi kazi zangu ni za kusafiri kwahiyo muda mwingine nakuwa sipo nyumbani, hata baada ya mke wangu mimi kuzaa naye watoto jamaa bado tu hakomi
Nifanyeje?
😂😂😂😂 Sitaki ufe nitabaki mpweke..ubaki hapo hapoAmen kabida.. Nikifa nkazaliwa tena tukutane ukubwani, naahidi ntakupenda kuliko maji
Tatizo lilianzia pale ulipokubali kuoa mwanamke mwenye mtoto bila kuona kaburi la baba wa mtoto

kwamba bila kuona kaburi!Mwite mbele ya serikali ya mtaa,umuonyeNi single mother wa mtoto mmoja, jamaa anamfuatilia sana akitaka warudiane lakini mke wangu amekataa kabisa ila jamaa hakati tamaa. Alimtelekeza toka akiwa na mimba miaka mitano imepita ndio amerudi na kuanza kumsumbua huyu mke wangu.
Mimi kazi zangu ni za kusafiri kwahiyo muda mwingine nakuwa sipo nyumbani, hata baada ya mke wangu mimi kuzaa naye watoto jamaa bado tu hakomi
Nifanyeje?
Hicho kimtu na malavu kinanipa raha sana😂😂😂😂 Sitaki ufe nitabaki mpweke..ubaki hapo hapo