Jamaa anamfuatilia mke wangu

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€Yani wewe khaaa
Yani acha tu...... Hivi haijawahi kutokea unampenda mtu hata humjui??
Kwenye list yangu kuna
Mama
Yna2
Beyonce Knowles
Khumbu na
Beatrice (huyu nipo radhi kumroga)
 
Yani acha tu...... Hivi haijawahi kutokea unampenda mtu hata humjui??
Kwenye list yangu kuna
Mama
Yna2
Beyonce Knowles
Khumbu na
Beatrice (huyu nipo radhi kumroga)
Inatokeaga..πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ila umejua nifurahisha jioni hii 🀣🀣 Santee
 
Inatokeaga..πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ila umejua nifurahisha jioni hii 🀣🀣 Santee
Popote ulipo kisses to you mamamia... Nikionaga post ama reply yako huwa nafurahi sana najihisi kufa kabisa
 
Santee santeeee ahsanteee
😘😘😘
😍😍😍😍😍😍 Uliyenae akijichanganya tu mie nipo singo tu na nnasachi.... Nipo tayari kuvumilia matatizo yote
 
Mwanaume huwa hakazanii kurudi kwa mwanamke kama haonyeshwi matumaini.

Mkeo bado anampa huyo mtu wake ishara kuwa akimkazia anaweza kumpa access tena hata ya kuwa anafanya nae kisirisiri.

Mimi nawaambia sana akina dada wenzangu kuwa ukishakuwa na mtu wako ambaye yupo serious na wewe then acha na futa kabisa mazoea na wanaume wote ambao ulishawahi jihusisha nao. Futa namba zao, wablock na wakikutafuta kuwa mkali kama mbogo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
😍😍😍😍😍😍 Uliyenae akijichanganya tu mie nipo singo tu na nnasachi.... Nipo tayari kuvumilia matatizo yote
🀣🀣🀣🀣Kashajichanganya tayari..singo but not rede tu mingolingiiiπŸ˜‚πŸ˜‚

Matatizo yangu yeye pekee aliweza yavumilia sijui kama utawezaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ha ha ha ha ha ha duh this is savage yaani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Huyu ndio mwanaume wa shoka sasa. Hapo mwanamke akileta shida yeye ndio kayataka sasa. Ila kwa namna ameweka mambo hapo amempatia jamaa kisawa sawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alafu unakuta na hilo lijamaa lipo humu linakupimia
 
🀣🀣🀣🀣Kashajichanganya tayari..singo but not rede tu mingolingiiiπŸ˜‚πŸ˜‚

Matatizo yangu yeye pekee aliweza yavumilia sijui kama utawezaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nayaweza yote katika bwana
 
Weka mkwara mzito kwa wote wawili mkeo na huyo kicheche.
 
Mwite mbele ya serikali ya mtaa,umuonye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…