Drat
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 1,263
- 1,521
Akikutana na shemeji akamwomba maongezi ya kushtakia ulivyovuruga urafiki kumwibia elfu hamsini(pesa ndogo sana imevunja urafiki,hapo anatia chumvi)na kumpakazia utapeli?, na pia akampa laki 2 nyingine ya zawadi ya watoto itakuwaje?😃😃Niliwahi kusoma novel moja ilikuwa ni true story ya mtu aliyekuwa tapeli mkubwa anasema ili umtapeli mtu lazima yule mtu awe na tamaa, kilichokuokoa hukuwa na tamaa Ila mke wako alishaingia mkenge
