Jamaa aliyetaka kutapeliwa akashtuka akamtapeli mtapeli

Wadau tuwekane hapa wazi kwa sisi ambao tumewahi shtukia matapeli.

Mwaka juzi kuna jamaa mmoja ilitokea tulikutana bar. Alikuja meza yangu akakaa tukaongea ongea na kuwa friends.alinambia yeye ni mgeni dar anakuwa sana arusha.

Anafanya biashara ya madini so akija huwa anafikia hotel...katika maongezi tukafahamiana sana.alilipia mpaka beers zangu.nlimkatalia sana akaomba alipe sababu amefurahi kupata rafiki mwema.

Nikajiwazia nikasema tu moyoni hiiiii "yaani mimi ni mwema?"

Basi akanipa ni biznez kadi yake tukaagana tena akimwita dereva aje pia anifahamu.akiwa dar huwa anakuwa na dereva wake.

Tukawa friends after some weeks nlimkaribisha hadi home.alipapenda sana home.siku amekuja alinunua zawadi kwa watoto na wife.almost alitumia kama 200,000+

Jamaa alikuwa mpole sana anaongea kwa upole and very smart. Anapiga sana suit alikuwa akija anatumia uber au prado moja kali sana na dereva wake.

Alinambia anajenga mbezi beach alinunua kiwanja milion 150. So ujenzi unaendelea weekend moja akaniomba akanioneshe hiyo nyumba maana akiwa nje ya nchi anakosa mtu wa kumwangalizia.

Alinipeleka mbezi beach nikakuta mafundi wapo wamechangamka wakimwita mzee na kumweleza mahitaji.fundi akasema wapewe milion 8 kuna vitu vya kununua.akaomba account ya bank ya fundi akasema ataenda mtumia jumatatu.ila kwa siku hiyo akamtumia tsh mil 1 ya matumizi tu wagawane weekend.

Jamaa alikuwa fresh sana.alianza kunipa stories za biashara ya madini.akitaka niweke mtaji hata wa mil 30 ngepata mil 45 ndani ya week tu.akinishauri niende naye arusha tukanunue dhahabu then anapoenda South Afrika twende sote akanioneshe wateja.

Hapo akili ilianza ku alert.jamaa alikuwa busy na simu kuongea na wateja sometimes aliweka tu loud speaker.nlianza kushtuka kuwa jamaa yupo fast sana kunishawish.wife nikimsimulia ananambia kazi niache hata siku hiyo nikapige pesa.

Nikawa namwambia si rahisi kiivyo asubiri nifanye utafiti kwanza. Weekend moja nikapita mbezi nikakumbuka mjengo wa jamaa.kupita ile sehemu hakuna mafundi.

Nikauliza kwa vijana jirani kuwa ile nyumba nliitamani nikitaka kupata ramani yake mwenyewe yu wapi.wakanambia mwenye nayo alifungwa kwa madawa ya kulevya toka mwaka 2016. Na haijawahi guswa tena.

Nliwadodosa sana jamaa wakasema imeachwa hivyo tu ila kuna siku jamaa mmoja alikuja wakaja na mafundi wakapotea tena.

Nliporudi home nikawasiliana na jamaa.nikamuuliza ujenzi unaendeleaje.akasema safi kabisa mafundi toka siku ile wanapiga kazi mchana na usiku na jana tu alikuwa nao.anataka iishe ndani ya miezi 3. Ahamie dar.coz ana nyumba dar na south afrika.

Kesho yake nikapita tena ile sehemu.nikakuta kimya hakuna fundi hata mmoja.

Nikamuuliza tena vipi speed ya mafundi wake nataka nami nije niwatumie.akasema wapo vizuri leo tu kawapelekea vifaa vya mil 10. Hapo ndo nikashtuka zaidi.jamaa alikuwa mwongo.

After two days nikaonana naye town.nlimwambia anisaidie 50,000 ya haraka ntampatia nikifika ofisini nmesahau biz cards zangu zote aliniazima. Nlipofika ofisini nilimwambia nmempiga picha nmetuma kwa jamaa yangu polisi akatafute mtu mwingine wa kumtapeli.

Kuanzia muda huo hakupatikana tena.sijui alihamia wapi.ila niseme jamaa alikuwa vizuri.anaongea kiingereza vizuri.anajua nchi nyingi duniani.

Jamaa alikuwa amejipanga vizuri sana.alinikosa kosa sababu mimi kwenye issues za pesa huwa nachunguza sana.mzito kuamua ghafla.

Siamini katika deals ambazo zinaleta pesa kirahisi rahisi sana.ambazo hesabu zke hazimake sense.

Walinishinswa forever living,wakanishindwa gnld,wakanishindwa wazee wa goodmorning all time. Sipatikani katika kutapeliwa.

Tupeane shuhuda mbalimbali za kutapeli na kutapeliwa.mimi nlimtapeli jamaa 50,000. Na kumuingiza hasara kwa zawad ambazo alileta kwa wife na watoto wangu.

Ntaleta kisa kingine cha bi dada mmoja ambaye alitaka kunitapeli kupitia mapenzi.
Story za kishamba ivi uwe unasimliana chumbani ni hawala yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani alitaka kukupiga 30M wewe kumuibia 50,000 unashangilia?,duh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Safi sana, wenye pesa kweli hua hawana mbwembwe nyingi za kukufanya uamini wana hela. Wenyewe ni vitendo tu.
Sema ulifanya makosa kumkaribisha kwako, asije akakupangia tukio tu, next time usimuamini mtu kirahs had kumleta kwako aonane na familia yako

Sent using Jamii Forums mobile app
Duuhhh...!! Quite a story.
Ila kulingana na story yako si ina maana jamaa anapajua home kwako? Huoni kuwa uliiweka familia kwenye unnecessary risk?
Komeo Lachuma
Ulimtapeli ndio, hupotezi pesa kirahisi ndio ila still kumpeleka stranger kwa familia yako na kuruhusu awahudumie sijui awape zawadi you are still dumb.

Bora ungetapeliwa maana pesa inatafutwa. MUNGU aepushie mbali ila Ukisikia mkeo kaviziwa kafanyiwa mambo ya ajabu ujue ww ndo ulifanya utambulisho.

Protect your family mkuu, take risk za aina zote ila si familia.
By the way, mm naona jamaa alikurahisishia sana kumgundua baada ya kukupeleka sight.
Yaani nimekushangaa sana tapeli unampeleka kwako ulifanya kosa kubwa sana kumtambulisha mkeo na wanao hao sio watu labda iwe ni chai
Umempeleka nyumbani hapo tayari amesha kutapeli zaidi ya hiyo 50k yako na vijizawadi ulivyo mtapeli, yaani familia yako itakuja kupigwa ambush moja matata hadi uchanganikiwe, tembo hasahau njia yake
Umefail Sana mkuu Tena Sana Tena Sana unakubali kumpeleka mtu usiemfahamu kwako?? Tena kirahisi ???

Pole Sana subiria majibu

kilicho akilini kitumie
Aisee mnawajua mataperi au mnawasikia wakiwa washakutarget na kukuona una mpunga

shukuruni hapa mshapata trick mpya ila ukiingia kingi katika 18 zao hutoki
simlaumu jamaa maana matapeli huwa hawamtapeli mtu kiboya huwa wanakufatilia pengne hata miezi 2 hata mitatu kukupeleleza kiasi wakikuibukia washajua udhaifu wako
na hutumia udhaifu huo kufanikisha jambo lao au tuseme tamaa km jamaa alivyobainisha hapo kutoka katika kitabu na tamaa ya pesa ya haraka ndo huponza
mfano mm nilitapeliwa kiboya tuu mpk leo najiona fala sana kuhaminishwa niliachiwa ESCUDO kipindi hicho zinatamba siku 3 na funguo nikapewa kuja kupata akili dadeki nishaingizwa chaka
hao wajomba wakuitwa mataperi omba usikutane nao

jambo zuri tu ni kuwa
90% ya mataperi hawadhuru mtu mwili na mioyo hiyo hawana na hawawezi ndo mana akaamua kuwa taperi 7bu huwa smart kichwani na wengine wamepiga shure vizuri tu na magentleman haswa na km ukimkuta mdada ni PISI ya maana huwezi mkuta taperi muhunimuhuni mvuta bangi au mwenye muonekano wa kilevi 7bu utamtilia shaka tu
na taperi akipiga tukio au akishtukiwa anahama hilo eneo au mkoa hata miaka miwiri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wadau tuwekane hapa wazi kwa sisi ambao tumewahi shtukia matapeli.

Mwaka juzi kuna jamaa mmoja ilitokea tulikutana bar. Alikuja meza yangu akakaa tukaongea ongea na kuwa friends.alinambia yeye ni mgeni dar anakuwa sana arusha.

Anafanya biashara ya madini so akija huwa anafikia hotel...katika maongezi tukafahamiana sana.alilipia mpaka beers zangu.nlimkatalia sana akaomba alipe sababu amefurahi kupata rafiki mwema.

Nikajiwazia nikasema tu moyoni hiiiii "yaani mimi ni mwema?"

Basi akanipa ni biznez kadi yake tukaagana tena akimwita dereva aje pia anifahamu.akiwa dar huwa anakuwa na dereva wake.

Tukawa friends after some weeks nlimkaribisha hadi home.alipapenda sana home.siku amekuja alinunua zawadi kwa watoto na wife.almost alitumia kama 200,000+

Jamaa alikuwa mpole sana anaongea kwa upole and very smart. Anapiga sana suit alikuwa akija anatumia uber au prado moja kali sana na dereva wake.

Alinambia anajenga mbezi beach alinunua kiwanja milion 150. So ujenzi unaendelea weekend moja akaniomba akanioneshe hiyo nyumba maana akiwa nje ya nchi anakosa mtu wa kumwangalizia.

Alinipeleka mbezi beach nikakuta mafundi wapo wamechangamka wakimwita mzee na kumweleza mahitaji.fundi akasema wapewe milion 8 kuna vitu vya kununua.akaomba account ya bank ya fundi akasema ataenda mtumia jumatatu.ila kwa siku hiyo akamtumia tsh mil 1 ya matumizi tu wagawane weekend.

Jamaa alikuwa fresh sana.alianza kunipa stories za biashara ya madini.akitaka niweke mtaji hata wa mil 30 ngepata mil 45 ndani ya week tu.akinishauri niende naye arusha tukanunue dhahabu then anapoenda South Afrika twende sote akanioneshe wateja.

Hapo akili ilianza ku alert.jamaa alikuwa busy na simu kuongea na wateja sometimes aliweka tu loud speaker.nlianza kushtuka kuwa jamaa yupo fast sana kunishawish.wife nikimsimulia ananambia kazi niache hata siku hiyo nikapige pesa.

Nikawa namwambia si rahisi kiivyo asubiri nifanye utafiti kwanza. Weekend moja nikapita mbezi nikakumbuka mjengo wa jamaa.kupita ile sehemu hakuna mafundi.

Nikauliza kwa vijana jirani kuwa ile nyumba nliitamani nikitaka kupata ramani yake mwenyewe yu wapi.wakanambia mwenye nayo alifungwa kwa madawa ya kulevya toka mwaka 2016. Na haijawahi guswa tena.

Nliwadodosa sana jamaa wakasema imeachwa hivyo tu ila kuna siku jamaa mmoja alikuja wakaja na mafundi wakapotea tena.

Nliporudi home nikawasiliana na jamaa.nikamuuliza ujenzi unaendeleaje.akasema safi kabisa mafundi toka siku ile wanapiga kazi mchana na usiku na jana tu alikuwa nao.anataka iishe ndani ya miezi 3. Ahamie dar.coz ana nyumba dar na south afrika.

Kesho yake nikapita tena ile sehemu.nikakuta kimya hakuna fundi hata mmoja.

Nikamuuliza tena vipi speed ya mafundi wake nataka nami nije niwatumie.akasema wapo vizuri leo tu kawapelekea vifaa vya mil 10. Hapo ndo nikashtuka zaidi.jamaa alikuwa mwongo.

After two days nikaonana naye town.nlimwambia anisaidie 50,000 ya haraka ntampatia nikifika ofisini nmesahau biz cards zangu zote aliniazima. Nlipofika ofisini nilimwambia nmempiga picha nmetuma kwa jamaa yangu polisi akatafute mtu mwingine wa kumtapeli.

Kuanzia muda huo hakupatikana tena.sijui alihamia wapi.ila niseme jamaa alikuwa vizuri.anaongea kiingereza vizuri.anajua nchi nyingi duniani.

Jamaa alikuwa amejipanga vizuri sana.alinikosa kosa sababu mimi kwenye issues za pesa huwa nachunguza sana.mzito kuamua ghafla.

Siamini katika deals ambazo zinaleta pesa kirahisi rahisi sana.ambazo hesabu zke hazimake sense.

Walinishinswa forever living,wakanishindwa gnld,wakanishindwa wazee wa goodmorning all time. Sipatikani katika kutapeliwa.

Tupeane shuhuda mbalimbali za kutapeli na kutapeliwa.mimi nlimtapeli jamaa 50,000. Na kumuingiza hasara kwa zawad ambazo alileta kwa wife na watoto wangu.

Ntaleta kisa kingine cha bi dada mmoja ambaye alitaka kunitapeli kupitia mapenzi.

Nimecheka sana kwenye huu mstari kuhusu wife: “wife nikimsimulia ananambia kazi niache hata siku hiyo nikapige pesa.”
Yani hawa viumbe wenzetu wanavyopendaga short cut! Hapo tayari alikuwa ameshajenga image ya u bilionea na jinsi Mungu alivyowashushia Neemana angekuwa ni wife wako ndo anacheza hilo insue sijui kilio chake nani angemtuliza all in all big up kwa kustukia mchezo
 
Back
Top Bottom