Jamaa aliyetaka kutapeliwa akashtuka akamtapeli mtapeli

Wakiwa wanafanya utapeli Kagera, walikuwa wamejificha kwenye migomba, banda la mganga wa kienyeji lilikuwa humo, ili isiwe rahisi kujulikana na vyombo vya dola. Halaafu kulikuwa na kundi lao lililokuwa linasambaza taarifa za mganga huyo ili watu waweze kwenda kupata tiba huko

Pia nakumbuka ilikuwa mwaka 1990 mwishoni, the same guy akishirikiana na jamaa wengine hapa Dar es Salaam wakabahatika kupata headed paper ya chuo kikuu fulani kikubwa hapa nchini, halafu wakaandika barua feki ikionyesha kuwa kuna wanafunzi wanakuja Mwanza kutoka Dar es Salaam, kuja kufanya utafiti ziwa Victoria, muda nadhani ulikuwa haupungui mwezi mmoja. Kwa hali hiyo walihitaii accommodation Mwanza mjini. Barua hiyo wakaichukua na kumpelekea mmiliki mmoja wa Hotel jijini Mwanza, kwamba kama kuna uwezekano wanafunzi hao wafikie kwenye hotel yake, ambao namba yao nadhani ilikuwa haipingui mia moja. Na kwa sababu ni dili, mhusika aliyekuwa na barua akawa anahitajika kutoa kamisheni ili wanafunzi hao waweze kupelekwa kwenye hotel yake na si nyingine. Kwa trick hii, hatimaye mwenye barua alifanikiwa kuvuta kamisheni na wanafunzi wa utafiti waka-"sublime" kama mvuke. Enzi hizo ilikuwa mtu akishakuwa na barua ambayo imechapwa kwa Komputa, halafu ina nembo ya chuo kikuu kinachojulikana nchini, ilikuwa inatosha kabisa kumuaminisha mtu hata kama ni msomi, kuwa taarifa zilizoko kwenye barua hiyo ni za kweli!
 
Wadau tuwekane hapa wazi kwa sisi ambao tumewahi shtukia matapeli.

Mwaka juzi kuna jamaa mmoja ilitokea tulikutana bar. Alikuja meza yangu akakaa tukaongea ongea na kuwa friends.alinambia yeye ni mgeni dar anakuwa sana arusha.

Anafanya biashara ya madini so akija huwa anafikia hotel...katika maongezi tukafahamiana sana.alilipia mpaka beers zangu.nlimkatalia sana akaomba alipe sababu amefurahi kupata rafiki mwema.

Nikajiwazia nikasema tu moyoni hiiiii "yaani mimi ni mwema?"

Basi akanipa ni biznez kadi yake tukaagana tena akimwita dereva aje pia anifahamu.akiwa dar huwa anakuwa na dereva wake.

Tukawa friends after some weeks nlimkaribisha hadi home.alipapenda sana home.siku amekuja alinunua zawadi kwa watoto na wife.almost alitumia kama 200,000+

Jamaa alikuwa mpole sana anaongea kwa upole and very smart. Anapiga sana suit alikuwa akija anatumia uber au prado moja kali sana na dereva wake.

Alinambia anajenga mbezi beach alinunua kiwanja milion 150. So ujenzi unaendelea weekend moja akaniomba akanioneshe hiyo nyumba maana akiwa nje ya nchi anakosa mtu wa kumwangalizia.

Alinipeleka mbezi beach nikakuta mafundi wapo wamechangamka wakimwita mzee na kumweleza mahitaji.fundi akasema wapewe milion 8 kuna vitu vya kununua.akaomba account ya bank ya fundi akasema ataenda mtumia jumatatu.ila kwa siku hiyo akamtumia tsh mil 1 ya matumizi tu wagawane weekend.

Jamaa alikuwa fresh sana.alianza kunipa stories za biashara ya madini.akitaka niweke mtaji hata wa mil 30 ngepata mil 45 ndani ya week tu.akinishauri niende naye arusha tukanunue dhahabu then anapoenda South Afrika twende sote akanioneshe wateja.

Hapo akili ilianza ku alert.jamaa alikuwa busy na simu kuongea na wateja sometimes aliweka tu loud speaker.nlianza kushtuka kuwa jamaa yupo fast sana kunishawish.wife nikimsimulia ananambia kazi niache hata siku hiyo nikapige pesa.

Nikawa namwambia si rahisi kiivyo asubiri nifanye utafiti kwanza. Weekend moja nikapita mbezi nikakumbuka mjengo wa jamaa.kupita ile sehemu hakuna mafundi.

Nikauliza kwa vijana jirani kuwa ile nyumba nliitamani nikitaka kupata ramani yake mwenyewe yu wapi.wakanambia mwenye nayo alifungwa kwa madawa ya kulevya toka mwaka 2016. Na haijawahi guswa tena.

Nliwadodosa sana jamaa wakasema imeachwa hivyo tu ila kuna siku jamaa mmoja alikuja wakaja na mafundi wakapotea tena.

Nliporudi home nikawasiliana na jamaa.nikamuuliza ujenzi unaendeleaje.akasema safi kabisa mafundi toka siku ile wanapiga kazi mchana na usiku na jana tu alikuwa nao.anataka iishe ndani ya miezi 3. Ahamie dar.coz ana nyumba dar na south afrika.

Kesho yake nikapita tena ile sehemu.nikakuta kimya hakuna fundi hata mmoja.

Nikamuuliza tena vipi speed ya mafundi wake nataka nami nije niwatumie.akasema wapo vizuri leo tu kawapelekea vifaa vya mil 10. Hapo ndo nikashtuka zaidi.jamaa alikuwa mwongo.

After two days nikaonana naye town.nlimwambia anisaidie 50,000 ya haraka ntampatia nikifika ofisini nmesahau biz cards zangu zote aliniazima. Nlipofika ofisini nilimwambia nmempiga picha nmetuma kwa jamaa yangu polisi akatafute mtu mwingine wa kumtapeli.

Kuanzia muda huo hakupatikana tena.sijui alihamia wapi.ila niseme jamaa alikuwa vizuri.anaongea kiingereza vizuri.anajua nchi nyingi duniani.

Jamaa alikuwa amejipanga vizuri sana.alinikosa kosa sababu mimi kwenye issues za pesa huwa nachunguza sana.mzito kuamua ghafla.

Siamini katika deals ambazo zinaleta pesa kirahisi rahisi sana.ambazo hesabu zke hazimake sense.

Walinishinswa forever living,wakanishindwa gnld,wakanishindwa wazee wa goodmorning all time. Sipatikani katika kutapeliwa.

Tupeane shuhuda mbalimbali za kutapeli na kutapeliwa.mimi nlimtapeli jamaa 50,000. Na kumuingiza hasara kwa zawad ambazo alileta kwa wife na watoto wangu.

Ntaleta kisa kingine cha bi dada mmoja ambaye alitaka kunitapeli kupitia mapenzi.

Mkeo ataliwa kimasihara na huyo jamaa kufidia pesa zake

Sent using IPhone X
 
Hapo kwenye Good morning all the time, hao ni machoko na matapeli wakubwa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upo vizuri mkuu

Huyo tapeli hawezi kuangalia nyuma.

Ili kuilinda familia yako vizuri mchukulie RB kabisa ili ajue kuna polisi wanamfuatili.

Hata kaa akukumbuke wala kuisogelea familia yako.

Ila siku nyingi usipende kumtambulisha mtu kwa familia yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ushauri mzuri sana huu.
Asipende kupeleka peleka watu nyumbani kwake
 
Yaani umemruhusu jamaa atoe mpaka zawadi kwa nkeo?
 
Ndiyo wafuasi wa chadema walivyo kama huyo jamaa ,ukiwaangalia wanavyoongea utafikiri wana uchungu mno na wananchi, kumbe ni utapeli mtupu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wenye uchungu na wananchi ni akina nani ndugu miaka 58 mbezi Dar hatuna maji Safi na salama ya kunywa,je vipi walioko kijijini? Au una maanisha nini kusema uchungu na wananchi?
 
Mi juzi naambiwa nitume laki Sita eti mzigo wangu upo Zanzibar umetokea Uk 🤣🤣🤣
Nikamuambia siwezi tuma pesa mpaka nione mzigo live jamaa hawapatikani tenaa na huyo alotuma mzigo kaniblock 🤣🤣🤣🤣

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Safi sana, wenye pesa kweli hua hawana mbwembwe nyingi za kukufanya uamini wana hela. Wenyewe ni vitendo tu.
Sema ulifanya makosa kumkaribisha kwako, asije akakupangia tukio tu, next time usimuamini mtu kirahs had kumleta kwako aonane na familia yako

Sent using Jamii Forums mobile app
Kosa kubwa alilofanya jamaa Ni kumkaribisha kwake, maybe asirudie kosa Hilo mengine yote Safi
 
Back
Top Bottom