Jamaa abaka hadharani

Kama mpaka kesho asubuhi hawajamchoma moto huyo mbakaji na nyumba yake. basi watu wa makanya wote..............................................................
 
Mtu kama huyu ambaye anajifanya kajogoo, anastahili adhabu hii kwenye video:-
 
Na huyo mdada aliyebakwa hatua gani amechukua? Naona story inamtaja zaidi mbakaji.
 
duh watu wana roho ngumu . Sasa alivua nguo zote au nusu. Na je bao lilitoka kweli mbele za watu
 
hili soo litauliwa kiaina mpaka utashangaaa.......
utaambiwa jamaa ana ugonjwa wa akili n akesi yake itapelekwa mahakama ya kijeshi full stop......
 
Hao mashuuda walishindwa kumsaidia mbakwaji? Ahahahha... ata kama ni mbabe, umoja ni nguvu. Hawezi shindana na watu zaidi ya kumi bwana, labda awe kama great kharee. Na hilo **** hizo si bhange hizo. Lifikishwe ktk vyombo vya sheria. Hatutaki changa la macho. mi ndo maana sitaki kuja kua soldier. Zinarukaga
 
This is bs. Yaani mtu "anahisiwa" kuiba kuku mnamtwanga mawe mpaka anakufa, mnashindwa kumuadhibu huyu fedhuli. So so so sad.
 
kwa maelezo ya jamaa napata picha kwamba huyo mama alitoa ushirikiano wa kubakwa na jamaa kwanini hakupiga kelele? huenda wanajuana na kama sin\vyo basi alishazoea kubaka na leo ndyo arobaini. Tumetoa taarifa hizi kwa TBC na vyombo vingine kama wanaweza kupata ushirikiano kutoka kwa makamanda hasa wa kinondoni.
 
Na kweli, hao mashuhuda wanaumwa akili kuliko mtenda kosa. Na askari waliokuja kumkamata wanaumwa safura.
hii hadthi sidhani kama ina ukweli.
Haiwezekani umati wakusanyike kushuhudia tu jambo la kinyama namna hiyo. Kama ni kweli basi hao watazamaji watakuwa na matatizo makubwa zaidi ya akili.
 
Mi nimefikiri yule mtoto wa kiume miaka 6 aliyembaka mtoto wa kike miaka 5 ,kumbe na mjeda pia! Daaah kwisha kazi.
 
Kama mpaka kesho asubuhi hawajamchoma moto huyo mbakaji na nyumba yake. basi watu wa makanya wote..............................................................

...Mkuu, sina haja ya kutaka kujua Neno ulilotaka kumalizia nalo. Nimekugongea Like kwa Sababu nimehisi ni Hilo Hilo lilinofanya nikugongee like...!!!
 
...Hii stori inatafakarisha. Inawezekana huyu mama aliishakula vya watu siku nyingi bila kuvilipia kiasi cha Mjeda kumuambia siku nitakayokuona popote nakula vitu hapo hapo.
Lakini pia nakumbuka miaka kadhaa ya nyuma pale Manzese kulikuwa na kichaa mmoja mwanaume ambaye alikuwa na kawaida ya kubaka kina mama hadharani na kila alipofanya hivyo wale wahuni na wauza mitumba pale kazi yao ilikuwa ni kumshagilia Kichaa yule badala ya Kumsaidia mwanamke aliyekuwa anabakwa. Iwavyo vyovyote, HAIKUBALIKI!
 
Hii stori haina ukweli wowote hata kidgo yaani watu washudie unyamba kama huo na washindwe kuchukua hatua? Na kama watu walishindwa na askari polisi je, nao wafumbie macho ufedhuli kama huu? ni punguani tu anaweza kukubali porojo hii inayodaiwa kutokea Magomeni Makanya saa 6 mchana kweupe.
 
Haiwezekani ktk nchi hii hili jambo kutokea kwa namna ulivyolielezea. Akili yangu inanituma kuna kitu au mazingira ambayo hujaelezea vizuri.
 
Back
Top Bottom