Jamaa abaka hadharani

Drugsssss!!!!!!!!!!!!!!! hawa watu wana laana ya mwisho

Kweli waswahili walitaka kuona movie ya Magma ndo maana wakashindwa msadia huyu dada lakini mwisho wa siku hii dhambi na aibu itawaangukia wale wote waliohusika kwenye hili tukio iwe kwa kushangaa tuu na bila kutoa msaada,ama kusogea eneo la tukio na kufurahia huu upuuzi maana wengi ni wale watoto wanaoshinda chini ya Minazi/Miembe wakicheza Bao washenzi hawa mdebwedo wakubwa,
Jeshi la Polisi ni kimbilio la waliofeli Mitihani yao iwe Fiv ama Fvi So hainipi tabu kuamini kuwa uelewa wao Mdogo walishidwa kumtia Hatiani Huyu Fedhuli, mtoka pabaya mjaa laani mpaka kopeni
 
Dah sasa kama angemkuta mdada wa watu yuko kwenye siku zake ingekuwaje......angempigilia hivyohivyo au
 
No way, this can't be true. Ni kweli polisi wanaogopa JW lakini inapotokea kama hivyo wanakamata na kusweka ndani!! Wanahabarihebu fuatilieni hili suala for the raped woman's sake please!!
 
...Mkuu, sina haja ya kutaka kujua Neno ulilotaka kumalizia nalo. Nimekugongea Like kwa Sababu nimehisi ni Hilo Hilo lilinofanya nikugongee like...!!!

haha.. hebu otea basi halafu nikwambie kama umepata au lah! na zawadi utapatiwa.
 
Msimhukumu mbakaji tu,je mmeweza kujua mazingira yaliyotokea mpaka akabaka?actualy kuna baadhi ya matukio mbakwaji ndo hupelekea na kuchochea kwa hicho kitendo,tusubiri hatua za kisheria zifuatwe
 
dam it it cant b posible hao waliokua wanamwangalia nao pia ni wagonjwa what the hell is him kuwashinda umati wa watu wote hao au nao pia walikua wanafurahia kuangalia ujinga huo ndio maana wakashindwa hata kumjeruhi?:A S angry:
 
Kwanza huyo mjeshi hata akikamatwa lazima apimwe akili kabla ya kupandishwa kizimbani maana alicho kifanya si kitendo cha kawaida!

Pili huyo mjenda ina bidi achukuliwe hatua za kisheria maana kafanya kosa under "sexual offences act"
Ni lazima ifike wakati watu tuache kuogopana na kujua haki zetu, kama askari wana muogopa mwanajeshi na amefanya kosa sasa wananchi wafanye nini?

Hii ni nchi ya ajabu sana
ili neno "no one is above the law"
halina maana hapa tanzania!
Jamaa anayetajwa kuwa ni mwanajeshi (mstaafu au bado anafanya kazi) amembaka mwanamke hadharani eneo la Magomeni Makanya (Dar es Salaam) mchana huu kwenye mida ya saa 6.

Kwa simulizi ya shuhuda aliyekuwepo kwenye eneo la tukio, ambaye pia anamfahamu huyo mjeshi mpaka nyumbani kwake kasema kuwa jamaa kakutana na huyo mwanamke karibu na gereji bubu ya barabarani makanya, mara akamshika kwa nguvu huyo mwanamke na kumvua kwa nguvu hadhari na kumtenda hicho kitendo cha aibu mbele ya macho ya watu wengi waliokuwa wakipita hapo. Mpaka anamaliza kitendo hicho, kulikuwa na watu wengi waliofurika hapo wakiwa wameduwaa. Kwa nini hawakumpiga? Ni jamaa wanayemfahamu (kwamba ni mjeshi, pia ni mbabe), na anaishi maeneo ya karibu (Mwananyamala Kisiwani-ambapo si mbali na gereji hiyo).

Shuhuda mmoja aliyetaka kumtetea huyo dada alijikuta akionja hasira ya huyo mjeshi. Jamaa kamvunjia vioo vya gari yake kwa hasira; kisha akasogea karibu kucheza mchezo wa pool.

Muda mfupi; walifika askari polisi na difenda yao-wakiwa na bunduki zao. Huenda walipigiwa simu na wananchi. Polisi hao wameshindwa kumkamata mjeshi huyo; ambaye walikuwa wanamuona na yeye wala hakuwakimbia.

Binafsi nimefika eneo hilo la tukio takriban nusu saa baada ya tukio na kuukuta huo umati wa watu, polisi wakiwepo na difenda lao. Kama vile haitoshi, mjeshi huyo kawazonga polisi na kuwaambia kuwa hawana UBAVU wa kumkamata wala nini. Ndiyo hayo yaliyotokea muda mfupi uliopita.

Kwa vyombo vya usalama na vyombo vya habari:
Ukiweza kufika hapo Magomeni Makanya utapata mkanda mzima. Watu walioshuhudia ni wengi na wanaelezea wenyewe; na wanamfahamu huyo mjeda. Binafsi baada ya kuona polisi walishajulishwa na wamekwishafika; nilifanya jitihada za kupigia simu vyombo viwili vya habari na kuwaelekeza eneo la tukio. What a shame!

Namba yangu ni 0764600170.
 
Back
Top Bottom