wanchi tuko pamoja hapo ...sio mzee
hivi ni nani ni vijimambo tu ...ndio mzee
navinaikera kweli kweli mimi ...sio mzee
ahhaaaa umenikumbusha mbali sana....huyu jamaa anafanana na yule aliyeimbwa.....mabomba yatatoa maziwa....mapolisi kila mmoja helikopta....ahhaaa.......... u made me smile today...hongera
Alikuwa anatafuta point si unajua ni mtupu? kutoa neno mpaka ajinyooshe au apige mguu chini!
hahahahahha lol ule wimbo naona Professor J aliutayarisha ajili yake lol..
eti... niliwahidi mkafanye practical mwezini... baada ya uchunguzi nikagundua huko mwezini kuna baridi sana ....
huu wimbo naupenda sana lol
Afrodenzi Prof J mnafiki hana lolote...nilidhani mwanamageuzi kumbe nayeye anajikomba MTU SUGU dada au sio??
Alikuwa anatafuta point si unajua ni mtupu? kutoa neno mpaka ajinyooshe au apige mguu chini!
QUOTE=Cynic;Hao wachovu walio pembeni ni akina nani?
Ni WAKUBWA zake. Inavyoonekana wanashangaa anachokiongea jamaa. Hawaelewi wamweke daraja lipi. Mbumbumbu?! Tahira?! Mwendawazimu?! Kichaa?! Ziro?!