Jakaya mrisho kikwete na full boot.

Vitendo

JF-Expert Member
Oct 23, 2009
582
103
photo.php
 
Alikuwa anatafuta point si unajua ni mtupu? kutoa neno mpaka ajinyooshe au apige mguu chini!
 
wanchi tuko pamoja hapo ...sio mzee
hivi ni nani ni vijimambo tu ...ndio mzee
navinaikera kweli kweli mimi ...sio mzee
 
wanchi tuko pamoja hapo ...sio mzee
hivi ni nani ni vijimambo tu ...ndio mzee
navinaikera kweli kweli mimi ...sio mzee

ahhaaaa umenikumbusha mbali sana....huyu jamaa anafanana na yule aliyeimbwa.....mabomba yatatoa maziwa....mapolisi kila mmoja helikopta....ahhaaa.......... u made me smile today...hongera
 
ahhaaaa umenikumbusha mbali sana....huyu jamaa anafanana na yule aliyeimbwa.....mabomba yatatoa maziwa....mapolisi kila mmoja helikopta....ahhaaa.......... u made me smile today...hongera

hahahahahha lol ule wimbo naona Professor J aliutayarisha ajili yake lol..
eti... niliwahidi mkafanye practical mwezini... baada ya uchunguzi nikagundua huko mwezini kuna baridi sana ....
huu wimbo naupenda sana lol
 
Afrodenzi Prof J mnafiki hana lolote...nilidhani mwanamageuzi kumbe nayeye anajikomba MTU SUGU dada au sio??
 
those two other guys seems bored...Mr Rice seems to say Ohh Hell what the ****. The other guys is totally not there mentally-not interested listening to jk
 
QUOTE=Cynic;Hao wachovu walio pembeni ni akina nani?

Ni WAKUBWA zake. Inavyoonekana wanashangaa anachokiongea jamaa. Hawaelewi wamweke daraja lipi. Mbumbumbu?! Tahira?! Mwendawazimu?! Kichaa?! Ziro?!
 
Huyo ndio rais wetu,tena tunampenda kweli.....ata mseme yepi mnayotaka kusema huyo ndio Prezidaaaaaa wa TANZANIA,Habari ndio hiyo....hayo mengine yote mnayo sema ni vijimambo tuuuuuuuuuuu
 
Hamna displine kabisa hapo.

Wamarekani tokea Rais anapotangazwa kushinda uchaguzi, inachukuwa mwezi MMOJA, pamoja na mambo mengine anafundishwa jinsi ya kujibihevu KAMA RAIS, hapa baada YA KUTANGAZA MATOKEO KESHO YAKE ANAAPISHWA... haya ndo matokeo yake.

Anajiona kama yupo G3zt house.... hamna adabu kabisa

Eti anajifanya yupo confident katikati ya wahisani.... huyo jamaa wa kulia anawaza MCHANGA WA DHAHABU unaotoka Buzwagi mbona umechelewa??? wala hata hamsikilizi.
 
QUOTE=Cynic;Hao wachovu walio pembeni ni akina nani?

Ni WAKUBWA zake. Inavyoonekana wanashangaa anachokiongea jamaa. Hawaelewi wamweke daraja lipi. Mbumbumbu?! Tahira?! Mwendawazimu?! Kichaa?! Ziro?!

Sure, tena huyo mzee wa kushoto ndio kabisaaaaa. Yaani ni kama vile anatusikitikia sisi watanzania kwamba mhh huyu naye ni rais jamani hivi hawa marais wa hivi wanawatoaga wapi mbona yuko shallow hivi anaongizaje hiyo nchi sasa? Mimi kitu kinachoniboa kuliko vyote kuhusu huyu mkwere ni kwamba anapenda sana kusafiri lakini hapendi kujisomea matokeo yake akiongea pale ambapo inabidi aongee anakuwa hana points kabisa maskini mpaka aibu yaani.
 
Back
Top Bottom