Prof. Janabi kashauri watu wale vyakula vipi wakati huu wa mfungo wa Ramadhani?

I don't see anybody else but I see my self.

I see true colors of Success.

I'm fasting

NB recollect me when I'm done wrong
 
Kuna jamaa yangu hapa ni mshika dini hasa, yaani ni sala tano, cha ajabu yeye hufuturu ugali. Anadai kazi yake ni kuli wa kubeba magunia mazito, futari anaona akila ni kujitesa na njaa tu. Ni vizuri mtaalamu wa lishe ajitotokeze tena aeleze ni chakula gani kinafaa zaidi kufuturu
 
Mafuta yanayojihifadhi mwilini yanayeyuka unapokuwa huli...yanafidia ombwe la mafuta unayokusanya unapokula mara Kwa mara ...yakizidi ndo unapata magonjwa...sasa ukifunga yanayeyuka...
Jumla ya chakula anachokula mtu wakati wa mfungo. Futari+daku si kinafidia pale pale.

Labda uniambie kuwa jumla ya chakula mwezi wa mfungo ni ndogo kuliko miezi mingine ndio mafuta yaliyohifadhiwa mwilini yatatumika kufidia
 
Futari na daku haifidii chochote kama utaweza kaa masaa 16.....bila Kula chochote...hapo issue ni Kwa mda gani hauli chakula....kuna tofauti Sana Kwa anaemaliza Kula kitu Saa nne au tano usiku akalala..akaamka akafunga....na Yule anaeamka Saa tisa usiku Kula daku..
 
Jumla ya chakula anachokula mtu wakati wa mfungo. Futari+daku si kinafidia pale pale.

Labda uniambie kuwa jumla ya chakula mwezi wa mfungo ni ndogo kuliko miezi mingine ndio mafuta yaliyohifadhiwa mwilini yatatumika kufidia
Nakubaliana na wewe mkuu.

Mfungaji anapojisahau na kuwa anakula sana hiyo inaweza kupelekea kusitishwa kwa uvunjwaji wa mafuta ya mwili na matokeo yake anabaki na hzito ule ule.

Binafsi menyu yangu ni maji nusu lita nafungulia kinywa jioni.

Then napiga menu yangu ya kawaida ya usiku kwa kiwango cha kawaida tu,then nakula chochote nikitakacho sio kwa kuvimbiwa.

Then baada ya hapo nakunywa maji tu,na baada ya saa 5 usiku sili kitu chochote isipokuwa nakunywa maji alfajiri kama lita 1 ndio daku yangu labda na tende kokwa japo 5 tu.

Hivyo ninakaa takriban masaa 19 bila kula chochote na ninaamini kwa muda huu ketosis lazima itokee tuu na baada ya mfungo nitakuwa nimeondoa baadhi ya kilo katika mwili wangu.
 
Back
Top Bottom