Jakaya Mrisho Kikwete, Mungu atakulipa!

Jakaya Mrisho Kikwete, Mungu atakulipa!

Hakuna kitu umeandika apo marais wanne unajibu kingine

Huyo anaeongea hayo ni nani na wapi? tumalize hili kwanza.

Jee kilichofanyika kutokea hapo leo hii hukijuwi? au una macho lakini hayaoni, una masikio lakini hayasikii?

Hivi hizo shule huwa mnaenda kusomea ujinga?
 
FaizaFoxy my love embu niunganishe na mimi huko lumumba maana buku saba sijui 8 kwa siku is worthy than nothing......

naapa kuwa nitaipinga na kuitukana chadema kama nyinyi au zaidi......

Na pia nitapinga kila kitu ata kama ni cha maslahi ya nchi....as long as chadema ndo wame initiate

Nitatetea uovu wa sisiemu kwa nguvu zangu zote ilimradi chadema wakose pa kuhemea....

Ata kama rais wangu akifanya maamuzi ya kijinga (kama ilivyokua kawaida yake)....naahidi kumtetea kwa kadri ya akili zangu zote kama ambavyo umekua ukifanya malkia wangu bibie FaizaFoxy

Kama hiyo haitoshi nitazusha tuhuma za uongo na kashfa zisizo za kweli kama ambavyo mmekua mkifanya na nitafanya zaidi ya ninyi.....

Nitatenga masaa matano kila siku kwa ajili ya kuichafua chadema na ukawa at large.....

Nina uhakika mta-appreciate mawazo yangu na michango yangu niwapo kazini.....

Cha msingi apa ni hiyo buku saba au 8.....
 
Apo niliku quote tuu ila nazungumzia comments zako zilizopita yani nimekudharau kweli.

Dharau upendavyo, kwa kuwa umeshindwa kuja na anything solid worth discussing with me, sitegemei kama utaacha kudharau.

You are too shallow for me.
 
Wrong number. Too shallow for me.
 
some Repoa report jana wametoa update, ila kuelewa unatakiwa umesoma shule kweli

Wacha porojo, iweke hapa.

Na wewe ndiyo "umesoma shule kweli"?

Hivi hizo shule huwa mnaenda kusomea ujinga?
 
Dah! ikiwa hujuwi ulichofaidika, ni vigumu sana kukuelewesha, lakini ntakupa darsa dogo la halafu wewe fatilia zaidi kama kweli unataka kuelewa:

Ubungo Plaza, Symbion Power Plant
Dar es Salaam, Tanzania
10:58 A.M. EAT

PRESIDENT OBAMA: Good morning, everybody. Please have a seat. It is wonderful to be here with President Kikwete. I want to thank everybody from Ubungo Power Plant for this visit. We are here today to focus on one of the biggest hurdles to Africa’s economic development -- the fact that nearly 70 percent of Africans lack access to electricity.
And that’s why in my speech in Cape Town I announced a major new initiative -- Power Africa -- to double access to electricity here in Africa. Now, the first step that we’re going to take is to try to bring electricity to 20 million homes and businesses.

And this plant represents the kind of public-private partnership that we want to replicate all across the continent. This facility was idle. But the Tanzanian government, under President Kikwete’s leadership, committed to making reforms in the energy sector. With support from the Millennium Challenge grant, General Electric, and Symbion, they got it up and running again. More Tanzanians got electricity.

So Power Africa embraces this model. Public and private resources will be matched with projects led by African countries that are taking the lead on reform. In this case, African governments commit to energy reforms. And the U.S. is committing some $7 billion in support, and private sector companies have already committed more than $9 billion. And this is just the beginning -- because we look forward to even more companies joining this effort.

Soma zaidi: http://www.whitehouse.gov/the-press...ks-president-obama-ubungo-symbion-power-plant

Hivi hizo shule huwa mnaenda kusomea ujinga?
The whole concept ya powering afrika imeshindwa na onslaught ya wachina, kwanza strategy ya american government inabadilika kutoka ile ambayo obama alileta tanzania, ya kusuport american comapny, kwa sababu chinese altenatives zimekua cheaper, pili , wanaona ability ya waafrika kudeliver umeme kwa wanohitaji ni kama haipo, the latest ni solar powering, hiyo ndiyo inayozungumzia, kwa sababu inaondoa urasimu wa electricity grid infrastructure na inaweza kuwafikia walengwa, sidhani kama uelewa huu unao lakini wacha nijaribu
 
Dharau upendavyo, kwa kuwa umeshindwa kuja na anything solid worth discussing with me, sitegemei kama utaacha kudharau.

You are too shallow for me.

Hahahaha FaizaFoxy bhana kweli mwanamke mwanamke tuu.
 
The whole concept ya powering afrika imeshindwa na onslaught ya wachina, kwanza strategy ya american government inabadilika kutoka ile ambayo obama alileta tanzania, ya kusuport american comapny, kwa sababu chinese altenatives zimekua cheaper, pili , wanaona ability ya waafrika kudeliver umeme kwa wanohitaji ni kama haipo, the latest ni solar powering, hiyo ndiyo inayozungumzia, kwa sababu inaondoa urasimu wa electricity grid infrastructure na inaweza kuwafikia walengwa, sidhani kama uelewa huu unao lakini wacha nijaribu

Tanzania leo umeme unawafikia 36% ya Watanzania baada ya ujio wa Obama, kabla ya hapo ilikuwa ni 10% kwa awamu zote za kabla ya Kikwete ukizichanganya pamoja. Huyajuwi hayo?

Unaleta habari za Mchina? Mwaka huohuo aliokuja Obama na Rais wa China alikuja, umesahau?
 
Hee wewe vipi una compare na vipindi vilivyopita... .huyo Obama alikuwepo.....kichwa panzi kumbe
 
Tanzania leo umeme unawafikia 36% ya Watanzania baada ya ujio wa Obama, kabla ya hapo ilikuwa ni 10% kwa awamu zote za kabla ya Kikwete ukizichanganya pamoja. Huyajuwi hayo?

Unaleta habari za Mchina? Mwaka huohuo aliokuja Obama na Rais wa China alikuja, umesahau?

Acha uongo wewe ajuza. Hiyo 36% ni uongo mtupu. Serikali inasema ni 21% tena nayo ni ya kupika. Kwa mujibu wa takwimu za Demographic and Health Surveys (DHS) na World Development Indicators (WDI) ni 14% tu ndo inapata umeme hadi 2010. Hadi sasa inakadiriwa ni 18% pekee. Acha uongo wee ajuza
 
Wewe hata unachokibishia hukielewi ni nini.

Development ya Tanzania wakati wa Kikwete inaongelewa Kimataifa ni kati ya nchi 20 zinazo develop kwa haraka duniani:

Fastest-Growing Economies Through 2015 - Business Insider

Hivi hizo shule huwa mnaenda kusomea ujinga?
Vip kuhusu umaskini?jamani tuacheni masikhara tupo hapa JF TUBAPIGA POROJO ILA WATANZANIA WENZETU HUKO VJIJIN NI MASKINI SANA,TEMBELEENI RURAL AREAS JAMANI MSIDANGANYANE HAPA JF
 
Back
Top Bottom