Jakaya Mrisho Kikwete, Mungu atakulipa!

Jakaya Mrisho Kikwete, Mungu atakulipa!

Vip kuhusu umaskini?jamani tuacheni masikhara tupo hapa JF TUBAPIGA POROJO ILA WATANZANIA WENZETU HUKO VJIJIN NI MASKINI SANA,TEMBELEENI RURAL AREAS JAMANI MSIDANGANYANE HAPA JF

Mimi nipo kijijini. Hakuna sehemu bora ya kuishi leo hii Tanzania kama kijijini, kama kuna masikini wa kutupwa kijijini basi huyo amma ana matatizo ya akili amma ni mvivu wa kutupwa.

Vijijini tunatafuta watu wa kufanya kila aina za kazi hatupati, kila mmoja anasema yupo bize na shughuli zake. Nyie mliokosa kazi mijini ni wakati muafaka badala ya kuendelea kugongeana fegi, mje vijijini kuna kazi zisizokwisha huku.
 
Mleta mada labda ungeliambia kati ya hayo yote mafanikio uliyotuorodheshea ni mangapi yalikuwa kwenye ahadi zake!!?? Kigoma bado tunasubiri Dubai yetu ................................!!
 
Ntarudi Ku comment badae lakini we we mleta hoja ni PR. MUHONGO.
 
Of course kila jema lina changamoto zake kama kwenye kilimo watu wamelima hatimae Hanna pa kuuza mavuno yao has a mahindi rukwa na ruvuma 2015 ajipange kulikabili ilo
 
Mimi nipo kijijini. Hakuna sehemu bora ya kuishi leo hii Tanzania kama kijijini, kama kuna masikini wa kutupwa kijijini basi huyo amma ana matatizo ya akili amma ni mvivu wa kutupwa.

Vijijini tunatafuta watu wa kufanya kila aina za kazi hatupati, kila mmoja anasema yupo bize na shughuli zake. Nyie mliokosa kazi mijini ni wakati muafaka badala ya kuendelea kugongeana fegi, mje vijijini kuna kazi zisizokwisha huku.
JAMANI MIMI NIMESHINDWA, HUYU SITYO BINADAMU WA KAWAIDA, JUST WASTING MY PRECIOUS TIME, NAONA NITAPELEKWA MADRASSA SASA HIVI HIZO CHINI NI LATEST DETAILS FROM WORLD BANK REPORT NA UMEME VIJIJINI NI ONLY 2% LOOOOOH

The Current Unconstrained Peak Demand Stands At 950 – 1,000MW.

•
Growth In Power Demand Is 10%-15% Per Annum.

•
Due To Recent Recurring Droughts (2010, 2011 & 2012) - Recorded

Suppressed Peak Demand is 851.35MW (October 2012).

•
The Annual Energy Consumption for the Country is 5,740.84GWh

(2012)

•
The Highest Energy Demand Stands at 16.9 GWh/Day.


Only 14% of the Country is Electrified (12% of Urban And 2% of

Rural)


Access To Electricity Is About 18.4%.


Current Total Number of Customers Is 1,032,000


Maximum Number of Connections per Annum Achieved is 90,000
 
Unaleta data za miaka mitatu nyuma kushindana na leo 2015? Unanshangaza!

Hivi hizo shule huwa mnaenda kusomea ujinga?
 
Mimi nipo kijijini. Hakuna sehemu bora ya kuishi leo hii Tanzania kama kijijini, kama kuna masikini wa kutupwa kijijini basi huyo amma ana matatizo ya akili amma ni mvivu wa kutupwa.

Vijijini tunatafuta watu wa kufanya kila aina za kazi hatupati, kila mmoja anasema yupo bize na shughuli zake. Nyie mliokosa kazi mijini ni wakati muafaka badala ya kuendelea kugongeana fegi, mje vijijini kuna kazi zisizokwisha huku.
Unafurahisha baraza ndugu yangu watu
 
Unaleta data za miaka mitatu nyuma kushindana na leo 2015? Unanshangaza!

Hivi hizo shule huwa mnaenda kusomea ujinga?

Mama haambiliki unataka nn wewe.....Hahahaha kweli ukikaa kijijini akili nayo huwa inadumaa
 
Kikwete amefabikiwa kupata migawo katika kila ufisadi wa kutisha.
Walianzia na kugawana ufisadi wa kampuni hewa ya richmond kikwete lowasa na rostam
Amepata mgawo mkubwa wa epa na kuukimbiza uswiss na ili asionekane mbaya aliwasamehe wezi wkt huohuo akikisamehe na yeye mwenyewe japo yeye hakurudiaha hata sh moja
Escrow ndo dili lake pengine kubwa kuliko yote yaliyopita. Nasikia Kupitia stanbic kalamba bil 150 yeye peke yake. Nawahakikishia hata kwa mtutu wa bunduki hamtakuja kujua waliochotewa kupitia stanbic.
Rais dhaifu, hasafishiki, rais muuza madawa ya kulevya, rais dr profesa anayehongwa suit,...... PYUUUUU...NASIKIA KICHEFUCHEFU
 
Unaleta data za miaka mitatu nyuma kushindana na leo 2015? Unanshangaza!

Hivi hizo shule huwa mnaenda kusomea ujinga?

Kweli madrassa tabu, projection umewekewa na sioni project mpya ya umeme karibuni, pole
 
Mimi nipo kijijini. Hakuna sehemu bora ya kuishi leo hii Tanzania kama kijijini, kama kuna masikini wa kutupwa kijijini basi huyo amma ana matatizo ya akili amma ni mvivu wa kutupwa.

Vijijini tunatafuta watu wa kufanya kila aina za kazi hatupati, kila mmoja anasema yupo bize na shughuli zake. Nyie mliokosa kazi mijini ni wakati muafaka badala ya kuendelea kugongeana fegi, mje vijijini kuna kazi zisizokwisha huku.
IMAG0309.jpg
Choo cha shule ya Msingi Makangaga,iliyopo Kijiji cha Makangaga kata ya Kiranjeranje,Tarafa ya Nanjilinji wilaya ya Kilwa.Wilaya hiyo ndo inayotoa gesi ya Songosongo,hiko choo kinatumiwa na zaidi ya wanafunzi 300
 
Attachments

  • IMAG0311.jpg
    IMAG0311.jpg
    723.6 KB · Views: 57
View attachment 229215
Choo cha shule ya Msingi Makangaga,iliyopo Kijiji cha Makangaga kata ya Kiranjeranje,Tarafa ya Nanjilinji wilaya ya Kilwa.Wilaya hiyo ndo inayotoa gesi ya Songosongo,hiko choo kinatumiwa na zaidi ya wanafunzi 300
Sasa hao wazee wa hicho kijiji wanashindwa hata kujenga vyoo?

Utakuta hata majumbani mwao hawana vyoo na hawajuwi umuhimu wake. Chadema inafaa muitumie fursa hiyo mkawajengee vyoo. Njia ya mkato hiyo kwa mgombea wenu.
 
Usidhani kila aliyepo hapa ambaye anaikosoa CCM ni chadema, me ni mmoja wa watu wasio na itikad za kivyama
I'm sorry mdau
 
Back
Top Bottom