Jakaya Kikwete: Rais Samia anaendesha nchi vizuri, tuendelee kumuunga mkono

Rais mstaafu J. Kikwete akihojiwa amesema nchi inakwenda vizuri chini ya Samia na changamoto mbalimbali zinaondolewa ikiwemo uongezaji wa huduma za dharura kwenye sekta ya afya...
Ukisema anaendesha nchi vizuri lazima kuna wasiwasi kwamba ameshakoroga sana, na kwa vyovyote vile hilo litakuwa linatokota ndani kwa ndani., mtajuana
 
Ukarimu wote anaompa ndo leo asimsifie kweli, hawa wote wezi tu na huyo mpuuzi angejua kitaani anavyochukiwa laiti angekaa kimya. Hakuna anayeomba kifo ila huyu dalali akifa nitamtolea Mungu sadaka nono sana
Unaweza kusubiria afe ukajikuta wewe ndio unatangulia. Kwanini usiende kumuwahisha ili moyo wako usuuzike shetani mkubwa we.
 
Kwanini unaongelea ushungi? mavazi yake yana uhusiano gani na utandaji wake...achani chuki za kidini, mnatufanya sie waislamu kumtetea hata kama ameshindwa uraisi
Nawe una overeact! Kwa maelezo hayo mbona Ushungi ndo kitu pekee ambacho mwandishi kamsifia? Au unatafuta sababu ya kumuunga mkono kidini?
 
Yaan JK
Rais mstaafu J. Kikwete akihojiwa amesema nchi inakwenda vizuri chini ya Samia na changamoto mbalimbali zinaondolewa ikiwemo uongezaji wa huduma za dharura kwenye sekta ya afya...
Yaan JK anatuona sisi wajinga sana.Makamba kuwa wazir kwa Mara nyingine hapo kweli tunahitaji katiba mpya.
 
Natumaini kiwango chako cha kuelewa kipo chini sana ktk maswala haya kwa akili yako kwanini amchague yeye wako wangapi kwanini asiwe yule.

Halafu Samia halikua chaguo la Mwendazake kwa taarifa yako chaguo la mwendazake mgombea mwenza alikua Huseni Mwinyi sasa jiulize kwa nini akawa Samia asiwe Huseni Mwinyi?
Leta uthibitisho hapa kuwa lini na ni wapi Mungu alikuambia Samia ni chaguo lake?

Pia kuhusu ugombea wenza haihusishi chochote ndio maana nimetoa mfano wa Polepole sababu kwa Tanzania VP ni ceremonial leader huyo Samia ndio amebahatika kuibukia na kuwa Rais by default kinyume cha hapo ni kivuli tu huyo VP.

Mwisho niseme tu hujajibu swali mpaka pale utakapoweka uthibitisho Samia lini aliteuliwa na Mungu
 
Kikwete akae kimya asubiri 2025 maana tunajua lililoko nyuma ya pazia. Kina anaeingia barazani mkono wake why ?
 
JK ni bingwa wa spinning politics, anatafuta angle ya kuhamisha mjadala wa utawala wa mama kudorora, na anajua fika siku za mama kuendelea kukaa madarakani zinahesabika sana, maana kinachoendelea nyuma ya pazia ni kitu kizito na taarifa tetesi zimeshaanza kuvuja.

WanaCCM wanasema Mama hatoboi, iwe jua iwe mvua!
"Demokrasia siyo sawa na fomula ya soda ya koka kola" Mama Samia

"2025 Rais Mwanamke" Mama Samia
===
Mkuu Ujiandae kisaikolojia.
 
Leta uthibitisho hapa kuwa lini na ni wapi Mungu alikuambia Samia ni chaguo lake?

Pia kuhusu ugombea wenza haihusishi chochote ndio maana nimetoa mfano wa Polepole sababu kwa Tanzania VP ni ceremonial leader huyo Samia ndio amebahatika kuibukia na kuwa Rais by default kinyume cha hapo ni kivuli tu huyo VP.

Mwisho niseme tu hujajibu swali mpaka pale utakapoweka uthibitisho Samia lini aliteuliwa na Mungu

Nilikuambia kua kinacho kuhangaisha ni ufahamu finyu unasema kabahatika kwanini asibahatike mwingine awe Samia?

hebu toa fikra zako kwa Samia ifikirie position hiyo ya UFALME hiyo ndio ninayo itizama mimi ukigandisha mawazo yako kwa Samia utapata taabu saana
Kwa nini anatajwa Samia ni sababu ya position yake akitoka hapo hatotajwa.

ok wewe unadai Uthibitisho wa Mungu ktk hilo Mungu anasema katika Quran 3:26
MUNGU NDIO MFALME WA WAFALME HUMPA UFALME AMTAKAYE NA HUMVUA UFALME AMTAKAYE HUMTUKUZA AMTAKAYE NA HUMNYONGESHA AMTAKAYE MIKONONI MWAKE MNAKILA KHERI NA YEYE NI MUWEZA WA KILA KITU.

NB. Utakapo soma hiyo Aya toa Mawazo ya Jina Samia akili mwako weka mawazo ya position ya Samia na wengine kama akina Samia ktk position hiyo huenda kichwa kikafunguka.
 
Tuluipokuwa na rais mwanaume, mkewe alionekana kila wakati, imekuwaje mume wa rais wa kike haonekani? Maana hawa wanaomsifia sana pembeni tunawatilia mashaka sasa!
 
JK ni bingwa wa spinning politics, anatafuta angle ya kuhamisha mjadala wa utawala wa mama kudorora, na anajua fika siku za mama kuendelea kukaa madarakani zinahesabika sana, maana kinachoendelea nyuma ya pazia ni kitu kizito na taarifa tetesi zimeshaanza kuvuja.

WanaCCM wanasema Mama hatoboi, iwe jua iwe mvua!
Acha majungu na chuki.

Sisi wanaCCM wa kwelikweli tutamchagua raisi Samia 2025 kwa kura nyingi tu. Jiandae kunywa sumu.
 
Iko hivi kama hamjagundua,
  1. Vasco ameshika remote
  2. Prince ndiye anamwelekeza Vasco buttons za kubonyeza
  3. Na picha ndiyo hiyo mnayoona
Kama ni hivyo,iko poa sana.

Kwa mateso aliyokuwa ameiletea nchi mwenda zake...hawa watakuwa wakombozi wetu kabisa.
 
😁😁😁
AgUzp6.jpg
 
JK ni bingwa wa spinning politics, anatafuta angle ya kuhamisha mjadala wa utawala wa mama kudorora, na anajua fika siku za mama kuendelea kukaa madarakani zinahesabika sana, maana kinachoendelea nyuma ya pazia ni kitu kizito na taarifa tetesi zimeshaanza kuvuja.

WanaCCM wanasema Mama hatoboi, iwe jua iwe mvua!
Mungu ndiyo kaishamchagua Samia.Mtake ama msitake mama atamaliza muda aliopangiwa na Mungu.
 
Huyo JK sikuwahigi kumlenda tangu mwanzo. Alipopitishwa 2005 kuwa Mgombea Urais wa CCM nililia sana siku hiyo. Na hata leo simpendi. Siku "akienda zake" nitakunywa pombe ya gharama ya juu zaidi inayopatikana mtaani kwangu!!!
Napumbu utapigwa.
 
Na pumbu utapigwa.
 
Back
Top Bottom