Jakaya Kikwete ndani ya Ifakara

Jakaya Kikwete ndani ya Ifakara

Wakuu mkuu wa kaya leo yupo kilombero mahenge,kesho atakuwa ifakara kuzindua ujenz wa daraja la mto kilombero,mishemishe zilzokuwepo hapa c mchezo mkuu wa mkoa,mkuu wa wilaya mkurugenz makada wanapitapita NAWAONA MAAFISA USALAMA KAMA 10 ninachojiuliza je iz pilka za polis wilaya zote na mkoa pamoja na msafara wa magar yasiyopungua 50 je hiz c fedha za wafuja jasho??
Halafu acha kusoma magazeti ya udaku na kuangalia televisheni za kihuni. Vyombo vyote makini vya habari vimeripoti mkuu wa kaya yuko Dodoma kwenye CC ya CCM, nina uhakika alikuwa huko hadi jioni halafu wewe unakuja na umbulula wako eti yuko Kilombero
 
naomba akifika hapo ageukie vijiji vilivyo kribu ambavyo vinakua kwa kasi walau awape uhakika wa hospital na umeme.vijiji kama Mbingu,idete,mngeta,vina uzalishaj mkubwa wa mazao lakin inapofika masika usafir unakuwa mgumu,tupunguze kuweka lami vijichochoro visivyo na umuhimu mkubwa mjini eti kupunguza foleni,fedha hizo tutumie wataalamu wale wa barabara za mawe toka mwanza kwa kuwa mawe yapo maeneo haya waje wazijenge walau tuwe na uhakika wa njia nzuri zinazopitika njia za masika kama kujenga barabara za lam ni shida.Barabara za mawe n msaada mkubwa.
 
Mkuu SAUTI YAKO upande wa barabara ya ifa to mlimba ujenz wa kiwango cha lam ushaanza kuhusu umeme mkuu vijj vya udagaj chita ikule pamoja na mngeta viko kwenye mpango wa kupokea umeme wa kutoka kians
 
Last edited by a moderator:
Wakuu kwa jins wachumia tumbo wa jk wanavyofanya kaz huwez kuamin! Bara bara zote leo nyeupe pakn ziszokuwa na msing zinaondolewa vilaza wa jk wapo hai hai ile mbaya

Ninachojiuliza kuna haja gan ya kujifanya msaf kila anapofk mgen wakat wew ni mchafu?
 
Mkuu SAUTI YAKO upande wa barabara ya ifa to mlimba ujenz wa kiwango cha lam ushaanza kuhusu umeme mkuu vijj vya udagaj chita ikule pamoja na mngeta viko kwenye mpango wa kupokea umeme wa kutoka kians

asante kwa taarifa.
 
Last edited by a moderator:
Wakuu kwel w2 hawana mwamko naona magamba baada ya kukosa wa2 wameamua kujichangisha na kutoa ofa ya usafir wa bure kwenda kumpokea Vasco Dagama, na bado wa2 hawawaelew kabisa
 
Tunashukuru kwa ziara hiyo....tunaomba atumie ziara hiyo ku declare wilaya mpya ya Malinyi kwa matakwa ya TAMISEMI, Wilaya, Mkoa na Taifa, tunaungana na wataalam kuwa tarafa ya Lupiro iende Ulanga kwa mama Kombani ku boost uchumi, population na jiografia ya utawala na huduma za jamii.

Tumemuandikia barua kuunga mkono mabadiliko yq mipaka, tumemwambia Mh. Ghasia alipokuja Ngoheranga.

All in all twamshukuru sana Mh. Jakaya, ndie pekee aliyeliangalia eneo hili kwa karibu sana toka uhuru. Mwezi ulopita akiwa Namtumbo aliulizwa Songea rd via Malinyi Ifakara Mikumi Dar, akajibu yeye ameianza kwa kuhakikisha kiwqngo cha Changarawe na madaraja yapitike na kwamba CCM iko kwenye feasibility study ya kuiwekea lami, akasema ujio wa barabara hiyo inapunguza 300km toka safari ya sasa Dar Songea via Makambako.

Karibu home Mheshimiwa Rais
 
Unadhani hilo fungu la hiyo ziara limetoka kwenye mfuko gani ambao pesa zake hazikuidhinishwa na bunge?

Kwani bunge likiidhinisha lazima zitumike ovyo? Hapa mleta uzi anahoji value for money.
Hivi ni lazima kuwa na msururu wa magari 50? Kumbuka pia manhours lost.
 
Halafu acha kusoma magazeti ya udaku na kuangalia televisheni za kihuni. Vyombo vyote makini vya habari vimeripoti mkuu wa kaya yuko Dodoma kwenye CC ya CCM, nina uhakika alikuwa huko hadi jioni halafu wewe unakuja na umbulula wako eti yuko Kilombero

Hivi unajua Rais hatumii punda?
 
Wakuu,

Mkuu wa kaya leo yupo Kilombero Mahenge,kesho atakuwa Ifakara kuzindua ujenzi wa daraja la mto Kilombero.

Mishemishe zilzokuwepo hapa sio mchezo, mkuu wa mkoa,mkuu wa wilaya mkurugenzi makada wanapitapita NAWAONA MAAFISA USALAMA KAMA 10.

Ninachojiuliza je, hizi pilka za polisi wilaya zote na mkoa pamoja na msafara wa magari yasiyopungua 50 fedha za wafuja jasho ndio zinatumika?
[/FsONT]
sasa ulitaka atoe hela zake mfukoni? hebu tuhurumie mashabiki wa jf, threads kama hizi zinabore. rais wa jamhuri anahitaji ulinzi sasa usijifanye wewe unajua ulinzi kiasi gani!
 
mkuu ndio mara ya kwanza kuona msafara wa kiongozi mkuu wa nchi?? ama ulitaka aje kwa baiskeli ili uje na thread nyingine ya kumkashifu, au asiwe na ulinzi ili upate nafasi ya kurusha mawe kwa manati yako kwa chuki zako binafsi kwa mamlaka ya nchi, pole kijana, wewe ni wa kuogopwa sana
 
Kwani maafisa wa usalama wana sare hadi kuwatambua na kujua idadi yao?

Wanajulikana kirahisi na makaunda suti yao na mitumbo mikuubwa. Hapa unaweza kujihesabia wewe mwenyewe

2yz9yxh.jpg
 
Sasa huyo Rais wa UKAWA atakua anakwenda huko na Ngorogojo ( baiskeli ya mti) au utoto unakusumbua acha kutafuta sifa ili uonekene eti mwanaharakati
 
Kaka tukutane hapa Malale maendeleo baadae tutafakari ujio wa raisi huku kwetu kama una faida yoyote ya msingi
 
Kaka tukutane hapa Malale maendeleo baadae tutafakari ujio wa raisi huku kwetu kama una faida yoyote ya msingi

Nitakuwa hapo mida mida. Mda huu nipo "uzunguni" navuta vuta muda.
 
Wakuu,

Mkuu wa kaya leo yupo Kilombero Mahenge,kesho atakuwa Ifakara kuzindua ujenzi wa daraja la mto Kilombero.

Mishemishe zilzokuwepo hapa sio mchezo, mkuu wa mkoa,mkuu wa wilaya mkurugenzi makada wanapitapita NAWAONA MAAFISA USALAMA KAMA 10.

Ninachojiuliza je, hizi pilka za polisi wilaya zote na mkoa pamoja na msafara wa magari yasiyopungua 50 fedha za wafuja jasho ndio zinatumika?

Kilombero na Mahenge ni sehemu mbili tofauti.

Ni aidha usema Kilombero-Ifakara au Ifakara-Kilombero ama Ulanga-Mahenge au Mahenge-Ulanga.
 
Back
Top Bottom