Fugwe
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 1,676
- 664
Hongera CCM mmetekeleza ahadi zenu kwa hilo sifa ziwaendee wote hususan Mhe. Rais wetu mpendwa
Utakumbukwa na wengi acha wenye roho chafu wanaofumba macho wasione mema yanayofanyika. Utakubwa kwa kujenga daraja la mto Malagalasi kule Kigoma, Barabara ya Mwandiga-Manyovu, daraja la mto kilombero endelezeni mengine na nyie sasa......Kasoro, msiingize Mahakama ya kadhi kwenye katiba tafadhali, maana wakatoliki wakitaka mahakama zao ziingizwe itakuwaje? Je, kakobe naye?Efatha?, BCIC? Mtwakataliakwa kigezo kipi?