GE2025 Jakaya Kikwete awashukia wanaoshangaa Ridhiwani kutokuwa na mpinzani

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Wont be the same

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
1,564
Reaction score
2,483
Wakuu naona utaendelea kushaangaana sasa, wa kuondoa mshangao naye anawashangaa wanoshangaa

===

Jakaya Kikwete amesema anawashangaa wanaoshangazwa na suala la Ridhwan kikwete kupita bila kupingwa/kutokuwa na mpinzani kwani jambo hilo ni la kawaida na amewahi kupita mara kdahaa bila moinzani kabla ya sasa.

"Mkoa wa Pwani huu, wilaya hii ya Bagamoyo ni wilaya ya CCM

Niliona watu walipoona Ridhwani kapita bila kupingwa wakasema aah hakuna demokrasia. Hata uchaguzi uliopita hakuwa na mpinzani ndani ya CCM.

Na kabla ya hapo uchaguzi mwingine ule pia hakuwa naye mwingine , kwahiyo unashangaa safari hii"
- Jakaya Kikwete

Soma: Pre GE2025 - POTOSHI - Rais mstaafu Kikwete anasema uchaguzi uliopita (2020) Ridhiwani Kikwete hakuwa na mpinzani ndani ya CCM
 
Wakuu naona utaendelea kushaangaana sasa, wa kuondoa mshangao naye anawashangaa wanoshangaa

===

Jakaya Kikwete amesema anawashangaa wanaoshangazwa na suala la Ridhwan kikwete kupita bila kupingwa/kutokuwa na mpinzani kwani jambo hilo ni la kawaida kwa kuwa mkoa wa Pwani na wilaya ya Bagamoyo ni ya CCM hivyo jambo hilo halishangazi.

"Mkoa wa Pwani huu, wilaya hii ya Bagamoyo ni wilaya ya CCM

Niliona watu walipoona Ridhwani kapita bila kupingwa wakasema aah hakuna demokrasia. Hata uchaguzi uliopita hakuwa na mpinzani ndani ya CCM.

Na kabla ya hapo uchaguzi mwingine ule pia hakuwa naye mwingine , kwahiyo unashangaa safari hii"
- Jakaya Kikwete
View attachment 3425910
Huyu koumbe ni wakuombea kwa Mungu atangulie mapema iwezekanavyo
 
Video haina sauti

Ova
 
Hili taifa Mungu tu aingilie kati aamulie haya
 
Back
Top Bottom