Yameisha tayari hata mseme lipi tayari ishaisha
Mkuu Mingoi ungalisoma kwanza habari husika ukamhukumu kutokana na hoja zake alizotoa ingalionyesha u-GT zaidi! Vinginevyo kihivi ni "Ghasia style"!
Sasa ulitegemea nini wakati kijakazi chake Judge Werema ameguswa na wizi wa mabillion.
dah i feel sorry for u and warioba
a person who can't find any positives in any situation always defensive
its a sign of depression and serious mental disorders
don't get carried away with emotion babu zitto and his kamati nawapa credits what u wud u do in zitto place??
Hii kali sana!Mzee yupi anajivunjia heshima? Huyu hapa au Warioba?
Kwahiyo ripoti ya Kamati ya Zitto ilikuwa sahihi kutotaja majina ya benki nyingine ambako fedha za ESCROW zilipelekwa,Kutokumhusisha wazirmi Mkuya na kutokumgusa kabisa rais mwenyewe?Kumbe hiki kizee ndio maana huwa mnakikata mitama sasa nimeshaelewa kama ni kweli wamemnukuu Warioba hilo gazeti na hawajamrisha maneno basi huyu Mzee ni mjinga na hana busara na hajui kusoma halama za nyakati na si kila ajenda ni ya kuidandia kuitolea maneno, Tutashindwa kumtofautisha na Renatus Mkinga.
Mkuu ktk yote unaonekana unachuki mno na Zitto....
Lazima tukubali maaskofu wanastahili jitakasa ktk hili....
Usimlaumu ZZK kumwambia mdini wakati wao walichambua kile walicholetewa na CAG ...
Mzee warioba naona kachanganyikiwa sasa, udhaifu wa ripoti ya PAC ukwap? na wakati wao wametohoa data za CAG? Hebu acheni kukatisha watu tamaa.
Kwahiyo ripoti ya Kamati ya Zitto ilikuwa sahihi kutotaja majina ya benki nyingine ambako fedha za ESCROW zilipelekwa,Kutokumhusisha wazirmi Mkuya na kutokumgusa kabisa rais mwenyewe?
Kumbe hiki kizee ndio maana huwa mnakikata mitama sasa nimeshaelewa kama ni kweli wamemnukuu Warioba hilo gazeti na hawajamrisha maneno basi huyu Mzee ni mjinga na hana busara na hajui kusoma halama za nyakati na si kila ajenda ni ya kuidandia kuitolea maneno, Tutashindwa kumtofautisha na Renatus Mkinga.
Mkuu lazima tukubali ripoti ilikuwa na udini sana ile itawatajaje viongozi wa dini wengine wakaachwa
Mkuu kwa taarifa tu,Mengi yaliyokuwamo kwenye ripoti za CAG na PCCB yaliondolewa(yalichakachuliwa) ili kuwalinda baadhi ya wakubwa.Ndiyo maana wenye akili zao wameamua kujitokeza kuikosoa.Kuna tofauti kubwa kati ya kamati teule ya bunge kama ile ya Mwakyembe na hii kamati ya kudumu ya PAC wao waliangalia findings za CAG, TAKUKURU NA TRA. na kutoa mapendekezo, ingeundwa kamati teule ya Bunge baba yenu Kikwete na familia yake wangeshakimbia nchi hii.
Kama huelewi hapo pole sana.