Tee Bag
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 7,220
- 5,626
Hili nalo jipya......lkn kiukweli hata mimi nilishangaa Waziri wa fedha kutoguswa na hili sakata.
Na wewe "sada tulia" haya maneno aliyasema zito wakati sada mkuya alipochangia utumbo
Hili nalo jipya......lkn kiukweli hata mimi nilishangaa Waziri wa fedha kutoguswa na hili sakata.
Kwa maoni ya Warioba kunahitajika kufanywe ajwari ,ili Zito na wenzake wajipange upya ,na zaidi ipatikane suluhu ya kutoonewa mtu na kuachwa mtu ,kila mtu abebe mzigo wake kwa haki.
Mambo ya kutoana kafara ili wengine wasalimike wakati huo umepitwa ,haki itendeke vinginevyo Zito nae achunguzwe kwa kukwepa na kuwakwepa wengine kama alivyodai Mh.Warioba ,utamhusishaje Waziri mkuu kwamba mambo akiyajua wakati Wizara ya fedha nayo hukuitaja wala kuihusisha isipokuwa madagaa wachache wasio na mapezi ya kuwavukisha kina kikubwa chenye mawimbi.
Zito achunguzwe,inaonekana kuna watu amewalinda.
Warioba ni mzee aliyekosa busara. Ila kwa hili kuna mahala namuunga mkono. Ile ripoti ya PAC ilikuwa inawalenga watu fulani. Ndo maana wakamuingiza na Maselle kwa makosa yasiyojulikana
Na wewe "sada tulia" haya maneno aliyasema zito wakati sada mkuya alipochangia utumbo
binafsi nilikuelewa na bado naamini,kwa yeyote asiyependa kujitoa akili,atakubali kuwa report ya zito ilikuwa ovyo na dhaifu sana.kwanza uandishi wake mbaya na uwasilishaji ulikuwa mbaya.report ilianghaika na watu ambao nadhani wangelikuwa mashahidi wakawa ndo wakosaji.wameachwa wahusika halisi pamoja na ukweli kwamba bado hakuna ushahidi wa kutosha dhidi ya makosa yaliyofanyika.pac inaundwa na watu wengi wenye average and low brain,wakaalika watu wa aina hyohyo.wenzetu kamatikama hzi zinakuwa na watu wenye akili ya kutosha.
Na wewe "sada tulia" haya maneno aliyasema zito wakati sada mkuya alipochangia utumbo
Hv ikulu nayo imekoswaje
Mimi nafikiri sasa tunakoelekea ktk hii nchi yetu ni kuwa watu wanajaribu kuongea na kuwatete watu(watuhumiwa) kulingana na uhusiano wao(ukabila/kutoka mkoa mmoja au urafiki wa muda mrefu).Huwa namuheshimu na kumkubali sana mzee wangu Warioba.Mzee huyu ana IQ kubwa na uwelewa mpana sana. Ila kwa maoni yake haya naona kama ameteleza kidogo.
PAC wamefanya utafiti wamegundua kuwa kuna baadhi ya hela ya umma ktk Escrow akaunti,na hili limedhibitshwa na TRA wenyewe,CAG na naibu waziri wa Fedha.Hawa ni watu ambao wapo serikalini kwa sasa na wanajua vizuri michakato inavyoendelea serikalini.Sawa mzee Warioba alikuwa serikalini,ila kwa sasa hayupo serikalini,hivyo naamini hajui kila kitu kinachoendelea ktk serikali yetu kwa sasa.
Sasa naomba kumuuliza mzee Warioba,alifanya lini uchunguzi wake akabaini kuwa hazikuwa hela za umma?na kitu gani kimemfanya kusema kuwa RIPOTI ya PAC ILIKUWA DHAIFU?au kwa sababu hiyo ripoti haikuitaja wizara ya viwanda na biashara?.HAPANA nafikiri kuna sababu nyingine.Kwa mtu msomi kama mzee Warioba kamwe hawezi kusema kuwa RIPOTI YA KAMATI YA BUNGE ILIKUWA DHAIFU,labda uwe na maslahi na watuhumiwa.
Nomba kumuuliza tena mzee Warioba,mbona sikuwahi kumsikia sehemu yoyote kuikosoa ile kamati/tume ya akina Mwakyembe iliomng'oa Mzee Rowassa na baadhi ya mawaziri?Au ni kwa sababu hakukuwa na WAZIRI, AG,NA KATIBU MKUU WA WIZARA KUTOKA MARA?Na kwa nini ametumia nguvu kubwa kuikosoa RIPOTI YA PAC?,au ni sababu RIPOTI YA PAC kutaja ndugu zake kutoka MARA ?(AG anatoka Mara,Waziri wa Nishati anatoka Mara,na Katibu mkuu wa wizara ya nishati anatoka Mara).Jaji Warioba ana urafiki wa karibu sana na hawa watuhumiwa ndio maana ametumia energy kubwa kuiponda Ripoti ya PAC.
Hawajaligusa kwa sababu inatakiwa tutambue uchafu huu umefanyika wakati waziri wa fedha Dr Mgimwa akiwa tayari wamemlisha SUMU na akiwa mgonjwa na kupelekwa South Africa nikimaanisha mwezi Sept. - Dec 2013 kwa hiyo waziri kamili alikuwa Mgonjwa na aliyekuwepo ni huyu naibu Nkuya ambaye kiuhalisia na jinsi alivyo dhaifu nafikiri na inawezekana hakuhusishwa kabisa kwani hapo alipo ni boya tu hajui mbele wala nyuma.Hili nalo jipya......lkn kiukweli hata mimi nilishangaa Waziri wa fedha kutoguswa na hili sakata.
Mkuu Kuitaja familia ya mkuu wa kaya kwa majina kuwa walichukua fedha kwenye magunia yahitaji moyo ndugu kwani unaweza kufanywa chochote na usipate mtetezi kwani watu wana kumbukumbu sana za yaliyomkuta Ulimboka na akina Kibanda na Dr Mvungi bila kumsahau Dr. MgimwaWatanzania tuna shida moja kubwa,Ya kusoma na kulielewa andishi.Hata mimi mbumbumbu wa masuala ya kiuchambuzi niliona udhaifu flani Kwenye ile ripoti ya PAC.Kushindwa kutàja majina ya wahusika waliochukua fedha Kwenye viroba;Kushindwa kuwataja Mawaziri kwenye wizara za Fedha na Viwanda ambazo nazo kwa kiasi kikubwa zinaonekana kuhusika katika uchotwaji wa fedha za ESCROW. So ni kweli ripoti hii imebezi kwenye kukandamizana kwa upande mmoja;Na kubebana kwa upande mwingine.