Jaji Warioba amjibu Bulembo (CCM)

Jaji Warioba amjibu Bulembo (CCM)

- Chama cha Mapinduzi tunataka Serikali mbili, Warioba na Chadema mnataka Serikali tatu nani atakayeshinda? Chadema na WArioba ni 47 tu, CCM 280 unaona maana ya kuropoka!

Le Mutuz

Ndugu umepotea njia, kuwa mfuasi wa Bulembo ni kujitwisha majanga mwilini; huyo atakupeleka kubaya kisiasa. Elewa wakati tuliopo; KUMBUKA Celina Kombani alitamka zoezi la kubadilisha KATIBA halitakuwepo 2010 - 2015; leo tupo wapi???? Rais na Mwenyekiti wako amewapa ANGALIZO; MJIANDAE KISAIKOLOJIA JUU YA KATIBA wewe bado bado upo usingizini na Bulembo wako; Mie namsamehe Bulembo kutokana na elimu yake duni na uwezo wake hafifu wa kufikiri. Wewe ulitakiwa kumsaidia Bulembo namna ya kufufua shule za WAZAZI!!
 
- Hatuwezi kuongelea Rasimu wakati tayari imeshakuwa muswaada, alichosema Bulembo ni sawa sawa kwamba Warioba hakuteuliwa kuwaamulia wananchi maoni ya katiba na wala hakuambiwa kuwaelemisha maana katiba, alichotakiwa ni kukusanya tu maoni yao, Warioba kama mwananchi wa Tanzania anayo haki ya kutoa maoni yake kuhusu katiba lakini hawezi kuyatoa akiwa ndani ya tume ni mpaka ajiuzulu kwanza, ndicho alichoambiwa na Bulembo na hakuna cha ajabu hapo wala utata.

- Narudia tena Warioba, ajiuzulu sasa kazi yake ya kamati ili awe Raia huru kama wengine wote ndio atoe maoni yake kuhusu KAtiba, hatuwezi kujadili Rasimu sasa maana tayari Rasimu ipo Bungeni inasubiri saini ya Rais twende kwa mbele.
Le Mutuz
da mtani. Mtani yaani umechanganyikiwa. Kuna rasimu ya katiba na mswada. Kipi rais anasubiri kusaini
 
- Sheria ipo wazi kwamba majority bungeni ndio wenye uamuzi wa mwisho wa marekebisho ya sheria ya jamhuri, CCM ndio tuna majority bungeni kwa hiyo sio Warioba, wala Chadema au CUF wenye uamuzi wa mwisho mnaweza kuitukana as much as you can lakini Sheria ni msumeno Warioba hana mamlaka kisheria kutuamulia katiba, ni vyema akajizulu tume sasa ili apate nafasi ya kutoa maoni yake kama raia.

Le Mutuz

Pamoja na ukweli huo wamwisho kuamua juu ya katiba ni wananchi ktk kura ya maoni. Pia hao wabunge km kura kwao itakuwa siri usishangae matarajio yako yakawa kinyume. Utanzania kwanza na itikadi za vyama baadae. Mungu ibariki Tanzania.
 
- Hapana si mmeoana na CUF chama mlichosema wenyewe kuwa ni cha Waliberali! ha! ha! ha! ninasema hivi Wariona na Chadema hamna mamlaka kisheria kuamua katiba mpya ni CCM tu ndio tuna haki kisheria, unasemaje hapo?

Le Mutuz
Naona umekazana na hoja zako mfu kumtetea Bulebo pumba zake kwa vile hakuachi kwenye safari zake kama Bodyguard wake. Acha kujidhalilisha zungumza maneno yenye kubebwa na fikra hai.
 
Jaji songa mbele tu wala isirudi nyuma wala kukubali kuyumbishwa na yeyote,jipe moyo mkuu utakumbukwa daima na watanzania.
 
Pamoja na ukweli huo wamwisho kuamua juu ya katiba ni wananchi ktk kura ya maoni. Pia hao wabunge km kura kwao itakuwa siri usishangae matarajio yako yakawa kinyume. Utanzania kwanza na itikadi za vyama baadae. Mungu ibariki Tanzania.

- Ndoto za mwendawazimu dalili za mvua ni mapema, CCM tupo mbele kama inavyotakiwa na katiba ndio maana kuna vilio kwa losers, forget haitakuja kutokea KAtiba kuandikwa na Chadema na Warioba never!!

Le Mutuz
 
- Hatuwezi kuongelea Rasimu wakati tayari imeshakuwa muswaada, alichosema Bulembo ni sawa sawa kwamba Warioba hakuteuliwa kuwaamulia wananchi maoni ya katiba na wala hakuambiwa kuwaelemisha maana katiba, alichotakiwa ni kukusanya tu maoni yao, Warioba kama mwananchi wa Tanzania anayo haki ya kutoa maoni yake kuhusu katiba lakini hawezi kuyatoa akiwa ndani ya tume ni mpaka ajiuzulu kwanza, ndicho alichoambiwa na Bulembo na hakuna cha ajabu hapo wala utata.

- Narudia tena Warioba, ajiuzulu sasa kazi yake ya kamati ili awe Raia huru kama wengine wote ndio atoe maoni yake kuhusu KAtiba, hatuwezi kujadili Rasimu sasa maana tayari Rasimu ipo Bungeni inasubiri saini ya Rais twende kwa mbele.

Le Mutuz

Kumbebea bag STD seven leaver ...kuna madhara sana !!

Mmeshaambiwa msijadili wajumbe JADILINI content.....Kati ya pesa walizopewa tume ni pesa za MASS CIVIL EDUCATION ...sasa mnawalaumu vipi ..kwa kutoa elimu hii.....na hawaaambii watu waongee nini.....,sana sana walichapisha katiba za zamani ili watu wazijuwe kwanza kabla ya kujadili katiba mpya..et
c
 
Naona umekazana na hoja zako mfu kumtetea Bulebo pumba zake kwa vile hakuachi kwenye safari zake kama Bodyguard wake. Acha kujidhalilisha zungumza maneno yenye kubebwa na fikra hai.

- Mimi ni Kiongozi wa Taifa nimechaguliwa na Wajumbe wa mkutano mkuu wa Taifa na pia ni Kiongozi wa CCM kata ya Kivukoni, so pole sana mkuu naona huwa husomi sana media za bongo ungejua kwamba mimi sio kama wewe, ha1 ha!

Le Mutuz
 
Msaada tutani???? Ndugu Chemba alileta mswaada wa ajira kwa vijana haukujadiliwa..pengine next time..mwenye rasimu ya mswada huo atujuze?

Njia zingine za kufunza ni mifano..!
 
- Hatuwezi kuongelea Rasimu wakati tayari imeshakuwa muswaada, alichosema Bulembo ni sawa sawa kwamba Warioba hakuteuliwa kuwaamulia wananchi maoni ya katiba na wala hakuambiwa kuwaelemisha maana katiba, alichotakiwa ni kukusanya tu maoni yao, Warioba kama mwananchi wa Tanzania anayo haki ya kutoa maoni yake kuhusu katiba lakini hawezi kuyatoa akiwa ndani ya tume ni mpaka ajiuzulu kwanza, ndicho alichoambiwa na Bulembo na hakuna cha ajabu hapo wala utata.

- Narudia tena Warioba, ajiuzulu sasa kazi yake ya kamati ili awe Raia huru kama wengine wote ndio atoe maoni yake kuhusu KAtiba, hatuwezi kujadili Rasimu sasa maana tayari Rasimu ipo Bungeni inasubiri saini ya Rais twende kwa mbele.

Le Mutuz

Yaani kuona mtu mwenye uwezo mdogo na akili ya kutokuyajua mambo kama huyu PIMBI, Eti anasisitiza alichosema BULEMBO kumbe anathibitisha ujinga wao. Ni rasimu gani ya katiba ipo kwa rais inasubiri kusainiwa? Yaani hajui hata tofauti ya Mswada wa sharia wa madiliko ya sharia ya katiba na Rasimu ya katiba. Nonesense and stupid politician
 
- Rasimu haijadiliki tena ndio maana Chadema na CUF wanasema Rais asisaini ili iendelee kujadiliwa naona wewe ndio unahitaji kusoma tena katiba.

Le Mutuz
Kaaa kimya badala ya kuandika vitu visivyo na kichwa wala miguu.
 
Kumbebea bag STD seven leaver ...kuna madhara sana !!

Mmeshaambiwa msijadili wajumbe JADILINI content.....Kati ya pesa walizopewa tume ni pesa za MASS CIVIL EDUCATION ...sasa mnawalaumu vipi ..kwa kutoa elimu hii.....na hawaaambii watu waongee nini.....,sana sana walichapisha katiba za zamani ili watu wazijuwe kwanza kabla ya kujadili katiba mpya..et
c

- Mngeanza kujadili content kwanza, kulia kwamba wanachama wa CCM wamefundishwa maoni ndio kujadili content? ha1 ha! ha! ha!

Le Mutuz
 
Yaani kuona mtu mwenye uwezo mdogo na akili ya kutokuyajua mambo kama huyu PIMBI, Eti anasisitiza alichosema BULEMBO kumbe anathibitisha ujinga wao. Ni rasimu gani ya katiba ipo kwa rais inasubiri kusainiwa? Yaani hajui hata tofauti ya Mswada wa sharia wa madiliko ya sharia ya katiba na Rasimu ya katiba. Nonesense and stupid politician

- Bulembo amesema kwamba Warioba hana mamlaka ya kutuamulia wananchi wa Tanzania namna ya kuunda Katiba mpya kama anataka ajiuzulu ndio aseme maoni yake ambayo hayana nguvu yoyote ni sawa na yangu tu yanaweza kukubaliwa na wabunge wa CCM au kukataliwa, eti tatizo lipo wapi hapo?

Le Mutuz
 
Watu wote wanaompinga warioba na tume yake wana matatizo...

Tunataka katiba itakayotoa haki kwa chama chochote kutawala ....na kustawi ikiwemo kurudi madarakani pale kitakaposhindwa uchaguzi kama marekani...

Sasa CCM kama chama tawala leo tusifanye kama tuna mkataba wa kutawala milele ....tuteee katiba iandaliwe iwe rafiki ambayo hata leo na kesho chama kikitoka madarakani keshokutwa kirudi...kisijekandamizwa kikafutika.

Tumeshuhudia Vyama vinatoka madarakani vinafutika kabisa ..hatutaki itokee hapa ..tunataka tuwe kama marekani Vyama viwe vinashindwa na kukubali matokeo vikijuwa katiba inatoa uhuru sawa
 
Malecela William anaendekeza dhiki kwa hiyo yuko sambasamba na kutetea UTUMBO wa Bulembo ambaye ameshindwa kurekebisha madudu ndani ya jumuiya ya Wazazi wa CCM. Badala ya kukaa chini, kutafakari namna ya kuboresha utendaji wa jumuiya yao wanatumia muda mwingi kuzunguka mikoani huku wakineemeka kwa posho wakati wafanyakazi wa jumuiya ya wazazi wanalalamika njaa
 
kwa hiyo bulembo anamamlaka ya kuwasemea wananchi?

Ufalme unaoparaganyika ndivyo ulivyo na hizo ndio dalili zake. Maccm yameparaganyika, hakuna heshima yeyote iliyo bakia kwao. Kila mtu, akipewa tu mic anajiona ndiye msemaji wa hilo lichama mfu. Kwa kuwa tayari lichama lenyewe limeshafariki kifo cha mende basi hata hakuna anaye litetea. Wakuu woote, kimyaaaa.
Jamani tusaidieni. Kurudisha uongozi kwa wengine si kupinduka? Utajipatia heshima kubwa tu. Waziri mkuu mwenyewe ametuambia LIVE kwamba hilo lichama limechoka na watu wake wamechoka.
Ndiyo maana, atasimama Nape amsemee Balozi wa nchi za kigeni, atasimama Kinana, atishie kufungua mashitaka kwa wanaokisema chama kuwa cha mafisadi, sasa anasimama Bulembo kumstaafisha Jaji Warioba tena kwenye mkutano wa hadhara, ati ni chuki tu kwamba walidhani Warioba angewaunga mkono kuwa Tz itatawalika tu kwa serikali 2. Warioba amesema jamani, kivuli hakiwezi kutawala. Sasa Tanganyika ifufuke. Walioizika hai sasa imefufuka!! Bulembo, acha kukichanganya chama chako. Wewe si kitu mbele ya Jaji Warioba. Amesoma mpaka Tz tukamwamini kumpa Mwanasheria mkuu. Hakuchaguliwa kwenye mkutano wa ccm mkoani. Unaonesha ulivyochanganyikiwa. Pole Murawane. Pole mura.
 
- Mimi ni Kiongozi wa Taifa nimechaguliwa na Wajumbe wa mkutano mkuu wa Taifa na pia ni Kiongozi wa CCM kata ya Kivukoni, so pole sana mkuu naona huwa husomi sana media za bongo ungejua kwamba mimi sio kama wewe, ha1 ha!
Le Mutuz
hivi elimu yako ya darasa gani?we kiongozi wa taifa. Tundurubeta kabisa.
 
Yaani kuona mtu mwenye uwezo mdogo na akili ya kutokuyajua mambo kama huyu PIMBI, Eti anasisitiza alichosema BULEMBO kumbe anathibitisha ujinga wao. Ni rasimu gani ya katiba ipo kwa rais inasubiri kusainiwa? Yaani hajui hata tofauti ya Mswada wa sharia wa madiliko ya sharia ya katiba na Rasimu ya katiba. Nonesense and stupid politician

- Reading between the lines naona unajisema mwenyewe uwezo wako mdogo wa kuelewa na kufikiri, kwamba Warioba hana mamlaka ya kutuamulia KAtiba mpya na case closed!!

Le Mutuz
 
Back
Top Bottom