Tuko
JF-Expert Member
- Jul 29, 2010
- 11,180
- 7,354
- Kazi ya Warioba ilikuwa ni kukusanya maoni tu ya wananchi na kuyaandika chini sio kutuamulia maoni yake, kama kuwa na haya mawazo ni kujiabisha so be it! ha! ha1 ha1
Le Mutuz
Napenda kukuelimisha kuwa kazi ya tume sio "ilikuwa", bado inaendelea. Na sasa wanakusanya maoni katika level ya mabaraza ya wilaya na taasisi. Warioba hajawahi kuwa na "maoni yake" bali walichandika ni kile kilichopendekezwa na wananchi wengi waliotoa maoni katika awamu ya kwanza. Bado mna nafasi ya kutoa maoni tofauti katika awamu hii ya mabaraza, Warioba hajawakataza...
Au utupe mfano ni maoni gani tume ya warioba imeyakataa na kulazimisha kuweka ya kwake?...