Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 17,018
- 20,489
- Rasimu haijadiliki tena ndio maana Chadema na CUF wanasema Rais asisaini ili iendelee kujadiliwa naona wewe ndio unahitaji kusoma tena katiba.
Le Mutuz
Narudia tena kukufundisha ndugu
Kinachopingwa na Watanzania wengi kisisainiwe na rais SIO Rasimu ya katiba,
Bali ni MSWADA wa SHERIA ya KATIBA,
Rais hana mamlaka kwa sasa ya kusaini rasmu ya katiba mpaka ije kwa wananchi na kupigiwa kura,
Tatizo mnatuma pesa ikasome badala ya nyinyi kusoma,
Rudi class mkuu, sio dhambi