Jaji Warioba amjibu Bulembo (CCM)

Jaji Warioba amjibu Bulembo (CCM)

Ni kweli hili ni tatizo kubwa sana kwa wanasiasa walio wengi katika nchi yetu - Hongera Jaji kuwaambia ukweli.
Warioba ni mpotoshaji. Kama anadhani tume yake Ina wajibu wa kutoa elimu, ni kwa nini akiwa Kondoa yeye na tume yake waliwaambia wajumbe wa Mabaraza kuwa "......mtake msitake serikali tatu ni lazima......" Hiyo ndio elimu anayodai walikuwa wanatoa. Warioba mbona haelezi ni kwa nini tume yake ilitaka kuchezea kichapo ilipokuwa Mpwapwa na Kondoa. Aache unafiki, afanye tume inachopaswa kufanya. Yeye Hana tofauti na walaji wengine tu. na ndio maana nasema anajidhalilisha mwenyewe. A kuitaka heshima ataheshimiwa, la sivyo ........
 
Nafikiri unaemueleza hakuwahi wala hajaelewa the whole process ya Katiba. Yeye anafikiri muswada wa sheria ndiyo rasimu ya Katiba iliyopigiwa kura.

Malicela With due respect hapa tunasomwa na wenzetu katika Jumuiya ya Afrika ya mashariki, na hakuna jambo la fedheha kama itakuwa inajirudia kwamba hata 'Viongozi' wetu hawajui chochote kuhusu mchakato wa Katiba. Unapoingia hapa kwenye majadiliano kama haya ukiwa 'Kiongozi' jaribu kufanya home work na kujiridhisha unachotaka kuchangia kwa jambo kubwa kama hili.

1. Jifunze rasimu ya Katiba nini

2. Muswada wa sheria (uliopitishwa na Bunge unazungumzia zaidi namna Bunge la Katiba litakavyokuwa) na pengine baada ya muda mfupi unaweza kuja tena muswada mwingine wa Sheria ili kushagiisha rasimu ya Katiba itakavyohitimishwa na kuwa Katiba.

Anachozungumzia Warioba ni Rasimu ya Katiba, ambayo bado kabisa haijahitimishwa.

- Yamekusanywa maoni tayari na sasa ynatakiwa kuchambuliwa yanasema nini, Wariona na Chadema mnataka yaseme Serikali tatu, CCM wenye uamuzi wa mwisho tunasema Serikali mbili tu! unaona imbombo ilipo? ha! ha!

Le Mutuz
 
- Kaiz ya Warioba ilikuwa kukusanya maoni, na kuyakabidhi kwa Taifa sio kutuamulia maoni yawe ya Serikali tatu, maoni yamekusanywa na sasa yatachambuliwa yakiwa kama muswaada.

Le Mutuz

Narudia tena mkuu,

Kasome sheria iliyounda tume hiyo na kazi zake,

Usiongee usichokijua,

Mzee Warioba anatimiza wajibu wa sheria
 
Una mapungufu makubwa katika uelewa wa mambo ya sheria kijana,

Tumia mda wako kusoma sheria iliyounda tume hiyo na kazi za tume hiyo,

Tume inatakiwa kutoa elimu kwa watanzania wakati wote,

- Rasimu haijadiliki tena ndio maana Chadema na CUF wanasema Rais asisaini ili iendelee kujadiliwa naona wewe ndio unahitaji kusoma tena katiba.

Le Mutuz
 
Bulembo na Kula Kulala (WJ Malecela) ni waganga njaa wanaotegemea kupiga porojo wapate posho kuendesha maisha yao. Watu wa aina hii huwa na mawazo ya hovyo sana. Mungu liepushe taifa letu na watu aina ya Bulembo, ni hatari kwa maendeleo.
 
- CCM tuna wabunge wengi kuliko wenu, CCM tuna 280 Chadema mna 46 tu, so Sheria ipo wazi uamuzi ni wetu CCM sio wenu wala Warioba.

Le Mutuz
Kweli wewe hamnazo CCM/CHADEMA/WARIOBA hawana uhalali wakuwaamulia watanzania ni katiba ipi wanaitaka bali watanzania wenyewe wataamua kwa maslah ya Taifa.
 
- Maneno yangu na yako ynajisema nani anaumwa maana unawezaje kushindana na chama chenye Wabunge 280 na wewe una 46 tu? ndio kuumwa kwenyewe huko!!

Le Mutuz

With this approach, tegemea kabisa kushindwa (nakupa siri hapa)... Wewe unaongelea watu (wabunge) 280 + 46 = 326. Rasimu ya katiba inawakilisha maoni ya watu 45,000,000.
Tatizo lako Le Mutuz umeuweka mchakato wa katiba ki-CCM vs CHADEMA!!! Usitarajie kushinda kwa approach mbovu hivyo...
Na ujue hata hao wabunge 280 wa CCM kuna deviation kubwa sana hapo... au umesahau mmoja keshawapa live kule Zanzibar mkamtimua?...
 
Narudia tena mkuu,

Kasome sheria iliyounda tume hiyo na kazi zake,

Usiongee usichokijua,

Mzee Warioba anatimiza wajibu wa sheria

- Warioba anaweza kutimiza wajibu wake kama tu akijiuzulu now na kusema maoni yake akiwa nje ya tume, nenda usome tena katiba inasemaje

Le Mutuz
 
Una mapungufu makubwa katika uelewa wa mambo ya sheria kijana,

Tumia mda wako kusoma sheria iliyounda tume hiyo na kazi za tume hiyo,

Tume inatakiwa kutoa elimu kwa watanzania wakati wote,
Ndani ya chama chetu siku hizi ni MAJANGA tu mkuu.
 
- Warioba anaweza kutimiza wajibu wake kama tu akijiuzulu now na kusema maoni yake akiwa nje ya tume, nenda usome tena katiba inasemaje

Le Mutuz

Kwa maneno haya yako babu yangu nakuapia huwezi kushinda ubunge.Afadhali ya Kibajaji ana busara zaidi.
 
- CCM tuna wabunge wengi kuliko wenu, CCM tuna 280 Chadema mna 46 tu, so Sheria ipo wazi uamuzi ni wetu CCM sio wenu wala Warioba.

Le Mutuz

23 years in New York then akili matope matupu, nawapongeza Wabunge wa Ccm kwa kukupiga chini kwenye ubunge wa East Africa wewe ni janga la Taifa.
 
- Rasimu haijadiliki tena ndio maana Chadema na CUF wanasema Rais asisaini ili iendelee kujadiliwa naona wewe ndio unahitaji kusoma tena katiba.

Le Mutuz
Ha ha ha ha ha Kumbe hata huelewi kile ambacho kinapiganiwa kwenye mswada kweli CCM kuna viongozi.
 
Hakuna mwenye mamlaka ya kuikosoa tume ila yule aliyeiteua. Sio kila mtu anaropoka tuu. Hat hivyo twajua hila hila za chama Tawala.
 
Hakuna mwenye mamlaka ya kuikosoa tume ila yule aliyeiteua. Sio kila mtu anaropoka tuu. Hat hivyo twajua hila hila za chama Tawala.

- Chama cha Mapinduzi tunataka Serikali mbili, Warioba na Chadema mnataka Serikali tatu nani atakayeshinda? Chadema na WArioba ni 47 tu, CCM 280 unaona maana ya kuropoka!

Le Mutuz
 
- Rasimu haijadiliki tena ndio maana Chadema na CUF wanasema Rais asisaini ili iendelee kujadiliwa naona wewe ndio unahitaji kusoma tena katiba.

Le Mutuz

Acha kujifanya huna akili... Tukuelimishe mara ngapi kuwa anachotakiwa raisi kutia saini sio rasimu ni muswada na kwamba hivi ni vitu viwili tofauti. Miwanafunzi kama wewe ndio ilinifanya nikashindwa kazi ya ualimu maana hapa ningekucharaza viboko 100 alafu nakutimua shule. Posts chache tu zilizopita nimekufundisha kuwa rasimu ya katiba na muswada wa sheria ya mchakato wa katiba ni vitu viwili tofauti, halafu sasa tu umeshasahau :frusty::frusty::frusty:
 
Back
Top Bottom