All TRUTH
JF-Expert Member
- Nov 20, 2011
- 5,452
- 2,571
Wamesaliti kazi yao iliyo bora,Wamewasaliti wananchi Maskini NA sasa hawazungumzii tena katiba mpya zaidi ya kupambana NA LOWASSA. Magufuli akishinda Urais hawezi kubadilisha msimamo WA bunge maalum LA katiba lililo pitisha katiba pendekezi zaid ya kufanya referendum.WARIOBA NA POLEPOLE wametuacha kwenye mataa sisi wakulima maskini.hawatakua NA jipya kwa wananchi tena zaidi ya sisi kuwaona wasaliti.
Wasalaam
Abel sere from Moshi
Waliotusaliti ni Ukawa maana hao ndo wamebeba maana nzima ya katiba mpya