Jaji Sam Rumanyika angetoa adhabu kwa waliosababisha akina Mbowe wasote rumande katika kipindi chote hiki

Tumeshuhudia moja ya uamuzi wa kihistoria katika mahakama zetu, baada ya Jaji Sam Rumanyika wa Mahakama Kuu kutoa uamuzi kuwa akina Mbowe waliendekea kusota rumande kwa sababu binafsi na wala si kwa sababu za kisheria, kwa wao kufutiwa dhamana waliyokuwa wamepewa kisheria na mahakama ya Kisutu na hivyo kusababisha akina Mbowe kuendelea kusota rumande kwa kipindi cha zaidi ya miezi mitatu

Pili hata uamuzi wake Jaji Rumanyika wa kutengua uamuzi wa mahakama yake ya chini ya kisutu kuwa akina Mbowe hawahitajiki tena kuwa wanaripoti kila wiki mahakamani hapo na badala yake akaamuru kuwa wanapaswa wawe wanaripoti Mara moja tu kwa mwezi pia ni wa kihistoria

Nadhani ingekuwa vyema kwa Mahakama kuu baada ya kuona kuwa akina Mbowe wameendelea kusota rumande kwa sababu binafsi na wala siyo kwa sababu za kisheria kwa aliyekuwa Hakimu Mkazi Mkuu, Wilbard Mashauri aliyetoa hukumu ya kuwafutia dhamana akina Mbowe naye angepewa adhabu na mahakama hiyo ili liwe fundisho kwa wale wote wanaozitumia mahakama hizo kwa sababu zao binafsi.

Kwa kweli ni jambo linalohuzunisha sana tena sana kwa mtu kama Freeman Mbowe na mbunge mwenzake wa Chadema, Esther Matiko ambao mahakama kuu imethibitisha pasipo shaka yoyote kuwa wamekomolewa kwa kukaa rumande kwa kipindi chote hicho

Vile vile Jeshi letu la Polisi nalo lingewajibika kwa vitendo vyake vya kiuonezi vya kuwakamata holela viongozi wa upinzani, hususani kutoka chama kikuu cha upinzani cha Chadema na kuwaburuza mahakamani kwa kile wanachokiita kuwa ni sababu za kijinai kuwa wanatumia lugha za uchochezi, wakati katika hali halisi ni za kisiasa kwa kuwa nchi yetu ipo kwenye mfumo wa kidemokrasia na ni wa vyama vingi ambapo wapinzani wao wakuu wa Chama cha CCM walipaswa kuzijibu kwenye majukwaa ya kisiasa,i kama inavyoainishwa katika Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa Tanzania, 1977, ibara ya 3(1) ili liwe fundisho kwa mamlaka zote zinazopenda kuisigina Katiba ya nchi yetu waziwazi kwa manufaa yao binafsi

Kama ungetolewa uamuzi huo ungekuwa fundisho kubwa ili vyombo hivyo visirudie tena makosa wanayoyafanya kwa lengo la kukomoana
Mungu ndiye mwamuzi wa yote maandiko matakatifu yanasema "usipotenda haki hata ufanye maajabu gani hutaiona pepo"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Majaji wote wanaoteuliwa awamu ya Tano na Magu sizani kama wana vigezo lakini kwa nini Rais ateue Jaji maana ya Jaji mkuu ni nini?
 
Hakuna kitu kinachoitwa kukaa rumande na kutolewa kwa dhamana. Kumnyima mtu dhamana au kuichelewesha ni makosa.
Kwa makosa yote yanayodhaminika ni wajibu wa mahakama kutoa dhamana kwa washitakiwa mpaka pale watakapo hukumiwa.
"Kutoa dhamana ni tafsiri dhahiri ya mahakama ya dhana ya katiba ya kuwa mtu hana hatia mpaka mahakama itakapomhukumu vinginevyo." Jaji S. Rumanyika
You are very correct by 100%
 
Hivi hamna uwezekano wa Mbowe na Matiko kumshtaki Mashauri ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hofu yangu ni aina ya mahakama tulizonazo, wanaweza kushitaki leo kesi ikachukua miaka kutolewa maamuzi, ni kweli isiyopingika kwamba wameonewa na hakimu aliyewafutia dhamana alitakiwa nae kuswekwa rumande kwa muda huohuo waliokaa Mbowe na Matiko
 
Lakini baada ya mahakama kuu chini ya Jaji Rumanyika, kutoa uamuzi huo kuwa ulikuwa uonezi wa hali ya juu kabisa kuwafutia dhamana akina Mbowe, ni aibu pia kwa mamlaka liyomteua huyo Wilbard Mashauri kuwa Jaji!
Hapa kazi tuu.
 
Tumeshuhudia moja ya uamuzi wa kihistoria katika mahakama zetu, baada ya Jaji Sam Rumanyika wa Mahakama Kuu kutoa uamuzi kuwa akina Mbowe waliendekea kusota rumande kwa sababu binafsi na wala si kwa sababu za kisheria, kwa wao kufutiwa dhamana waliyokuwa wamepewa kisheria na mahakama ya Kisutu na hivyo kusababisha akina Mbowe kuendelea kusota rumande kwa kipindi cha zaidi ya miezi mitatu

Pili hata uamuzi wake Jaji Rumanyika wa kutengua uamuzi wa mahakama yake ya chini ya kisutu kuwa akina Mbowe hawahitajiki tena kuwa wanaripoti kila wiki mahakamani hapo na badala yake akaamuru kuwa wanapaswa wawe wanaripoti Mara moja tu kwa mwezi pia ni wa kihistoria

Nadhani ingekuwa vyema kwa Mahakama kuu baada ya kuona kuwa akina Mbowe wameendelea kusota rumande kwa sababu binafsi na wala siyo kwa sababu za kisheria kwa aliyekuwa Hakimu Mkazi Mkuu, Wilbard Mashauri aliyetoa hukumu ya kuwafutia dhamana akina Mbowe naye angepewa adhabu na mahakama hiyo ili liwe fundisho kwa wale wote wanaozitumia mahakama hizo kwa sababu zao binafsi.

Kwa kweli ni jambo linalohuzunisha sana tena sana kwa mtu kama Freeman Mbowe na mbunge mwenzake wa Chadema, Esther Matiko ambao mahakama kuu imethibitisha pasipo shaka yoyote kuwa wamekomolewa kwa kukaa rumande kwa kipindi chote hicho

Vile vile Jeshi letu la Polisi nalo lingewajibika kwa vitendo vyake vya kiuonezi vya kuwakamata holela viongozi wa upinzani, hususani kutoka chama kikuu cha upinzani cha Chadema na kuwaburuza mahakamani kwa kile wanachokiita kuwa ni sababu za kijinai kuwa wanatumia lugha za uchochezi, wakati katika hali halisi ni za kisiasa kwa kuwa nchi yetu ipo kwenye mfumo wa kidemokrasia na ni wa vyama vingi ambapo wapinzani wao wakuu wa Chama cha CCM walipaswa kuzijibu kwenye majukwaa ya kisiasa,i kama inavyoainishwa katika Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa Tanzania, 1977, ibara ya 3(1) ili liwe fundisho kwa mamlaka zote zinazopenda kuisigina Katiba ya nchi yetu waziwazi kwa manufaa yao binafsi

Kama ungetolewa uamuzi huo ungekuwa fundisho kubwa ili vyombo hivyo visirudie tena makosa wanayoyafanya kwa lengo la kukomoana
Hilo linawezekana nchi za magharibi siyo Tz chini ya huyu jiwe

Halafu eti Wilbard Mashauri ni Judge! Najisi kubwa , CJ, hii ni najisi kubwa. Umekubali vipi mashauri kuwa jaji? Najisi kubwa! Si ajabu hata vigezo vya miaka hana! Tufanye uchunguzi tujiridhishe kuwa UPE huyu angalau katimiza miaka ...
 
Tumeshuhudia moja ya uamuzi wa kihistoria katika mahakama zetu, baada ya Jaji Sam Rumanyika wa Mahakama Kuu kutoa uamuzi kuwa akina Mbowe waliendekea kusota rumande kwa sababu binafsi na wala si kwa sababu za kisheria, kwa wao kufutiwa dhamana waliyokuwa wamepewa kisheria na mahakama ya Kisutu na hivyo kusababisha akina Mbowe kuendelea kusota rumande kwa kipindi cha zaidi ya miezi mitatu

Pili hata uamuzi wake Jaji Rumanyika wa kutengua uamuzi wa mahakama yake ya chini ya kisutu kuwa akina Mbowe hawahitajiki tena kuwa wanaripoti kila wiki mahakamani hapo na badala yake akaamuru kuwa wanapaswa wawe wanaripoti Mara moja tu kwa mwezi pia ni wa kihistoria

Nadhani ingekuwa vyema kwa Mahakama kuu baada ya kuona kuwa akina Mbowe wameendelea kusota rumande kwa sababu binafsi na wala siyo kwa sababu za kisheria kwa aliyekuwa Hakimu Mkazi Mkuu, Wilbard Mashauri aliyetoa hukumu ya kuwafutia dhamana akina Mbowe naye angepewa adhabu na mahakama hiyo ili liwe fundisho kwa wale wote wanaozitumia mahakama hizo kwa sababu zao binafsi.

Kwa kweli ni jambo linalohuzunisha sana tena sana kwa mtu kama Freeman Mbowe na mbunge mwenzake wa Chadema, Esther Matiko ambao mahakama kuu imethibitisha pasipo shaka yoyote kuwa wamekomolewa kwa kukaa rumande kwa kipindi chote hicho

Vile vile Jeshi letu la Polisi nalo lingewajibika kwa vitendo vyake vya kiuonezi vya kuwakamata holela viongozi wa upinzani, hususani kutoka chama kikuu cha upinzani cha Chadema na kuwaburuza mahakamani kwa kile wanachokiita kuwa ni sababu za kijinai kuwa wanatumia lugha za uchochezi, wakati katika hali halisi ni za kisiasa kwa kuwa nchi yetu ipo kwenye mfumo wa kidemokrasia na ni wa vyama vingi ambapo wapinzani wao wakuu wa Chama cha CCM walipaswa kuzijibu kwenye majukwaa ya kisiasa,i kama inavyoainishwa katika Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa Tanzania, 1977, ibara ya 3(1) ili liwe fundisho kwa mamlaka zote zinazopenda kuisigina Katiba ya nchi yetu waziwazi kwa manufaa yao binafsi

Kama ungetolewa uamuzi huo ungekuwa fundisho kubwa ili vyombo hivyo visirudie tena makosa wanayoyafanya kwa lengo la kukomoana
Mamlaka yake yanakomea kwenye hicho aliamua
 
Back
Top Bottom