Jaji Sam Rumanyika angetoa adhabu kwa waliosababisha akina Mbowe wasote rumande katika kipindi chote hiki

Sasa nyie mnachekelea nini mbowe kupewa dhamana na mnamaliza maneno yote kwa kumsifia jaji rumanyika na kumponda jaji mashauri bila kuweka akiba ya maneno
Kumbukeni kesi ya msingi bado haijasikilizwa msije kulia humu

Judge mashauri
Judge rumanyika
Hawa ni familia moja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona ajaharibu kwa Rumanyika au umetumwa na hisia kuhisi kaingilia kwa mashauri sio kwa Rumanyika?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii hoja ya kipumbavu sana....Tumia akili japo kuishughurikisha,Kutetea ujinga huu either unahitaji kuwa mwendawazimu au offer ya cheo uliyopewa na jiwe hvyo lazima utoe ushuz tu
 
Sasa nyie mnachekelea nini mbowe kupewa dhamana na mnamaliza maneno yote kwa kumsifia jaji rumanyika na kumponda jaji mashauri bila kuweka akiba ya maneno
Kumbukeni kesi ya msingi bado haijasikilizwa msije kulia humu

Judge mashauri
Judge rumanyika
Hawa ni familia moja

Sent using Jamii Forums mobile app
Pumbavu .....uovu lazima usemwe uko wazi mno!!
 
Hakuna kitu kinachoitwa kukaa rumande na kutolewa kwa dhamana. Kumnyima mtu dhamana au kuichelewesha ni makosa.
Kwa makosa yote yanayodhaminika ni wajibu wa mahakama kutoa dhamana kwa washitakiwa mpaka pale watakapo hukumiwa.
"Kutoa dhamana ni tafsiri dhahiri ya mahakama ya dhana ya katiba ya kuwa mtu hana hatia mpaka mahakama itakapomhukumu vinginevyo." Jaji S. Rumanyika
Umetoa point makini sana mkuu ila nimeipenda zaidi signature yako!
 
Hakuna kitu kinachoitwa kukaa rumande na kutolewa kwa dhamana. Kumnyima mtu dhamana au kuichelewesha ni makosa.
Kwa makosa yote yanayodhaminika ni wajibu wa mahakama kutoa dhamana kwa washitakiwa mpaka pale watakapo hukumiwa.
"Kutoa dhamana ni tafsiri dhahiri ya mahakama ya dhana ya katiba ya kuwa mtu hana hatia mpaka mahakama itakapomhukumu vinginevyo." Jaji S. Rumanyika
Mbowe alinyimwa dhamana au alifutiwa dhamana?

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
 
Wametoka kwa huruma ya maagizo kutoka juu, kama wanahaki waambie wakadai fidia.

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
Ndo ka-ung'eng'e pekee uliko okota nn? Kila sentensi, full of doubt, ooh mara full of confidence. Absurd

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbowe alinyimwa dhamana au alifutiwa dhamana?

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
Sasa kumfutia dhamana sio kumnyima?? Wewe kweli punguani.
 
Yule muoga & Co Walijua hakuna hatia kwa mashtaka waliyowabambikia.kwa kuwakomoa wawafunge kisingizio cha kutotii masharti ya dhamana.
Hii ndiyo inaipa nguvu ile principle kuwa "Any Person is innocent until proven guilty by a court of law" mwisho wa kunukuu

Inakuwaje Hakimu Mashauri "awahukumu" akina Mbowe kabla ya kupatikana na hatia??

Kwenye hili mimi pia sielewi kwa nini hawa wanasheria wetu wanafurahia huu ushindi peke yake wakati haki imeshadhulumiwa kwa kuwaweka rumande kwa muda wote huu bila sababu. Wanastahili kulipwa for unlawful detention.
Haki hudaiwa, haitolewi bure.
Nadhani kuna ushauri wa kisheria watapewa kina Mbowe kuhusiana na hiyo unlawful deed ya waliyofanyiwa. Alafu Mashauri anakatiza mbele ya mahakimu wenzake na mawakili huku akionekana ni hypocrite hahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom