Jaji Makaramba “polisi wasipochukuliwa hatua kwa kuwapiga Mawakili pamoja na wanachama wa CHADEMA ipo siku Jaji atapigwa akiwa Mahakamani”

Jaji Makaramba “polisi wasipochukuliwa hatua kwa kuwapiga Mawakili pamoja na wanachama wa CHADEMA ipo siku Jaji atapigwa akiwa Mahakamani”

jaji huogopi kutenguliwa ujaji wako? maana kwa tz hakuna lisilowezekana.
 
Jaji anapigwa vizuri tu, hasa akitenda haki inayoumiza ccm.
 
Jaji huyu anastahili kabisa.
Anaonekana ameitendea haki taaluma yake.

Mungu ampe baraka tele katika maisha yake
 
Back
Top Bottom