Igauri Kwetu
JF-Expert Member
- Aug 15, 2013
- 321
- 72
Nape huwa ni chizi na anapenda kujipendekeza kwa jk jambo lipo wazi kbsa kuwa jk ndo katufikisha hapa tulipo halafu anamsumbua Mzee wa watu. Sijui kala maharage ya wapi huyuu
Naendelea kucheka mhh hapana hayo yatakuwa maharagwe ya mtama Lindi