Siku moja baada ya Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM,Nape Nnauye,kutaka vigogo wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi(NEC) kung'oka,Mwenyekiti wa Tume hiyo,Jaji mstaafu,Damian Lubuva,amesema amekurupuka kutoa kauli hiyo,kwakuwa hajui ukweli kutoka serikalini.
"Kama Nape angeweza kuwauliza wakubwa zake,serikali na Tume ya uchaguzi nina uhakika hayo aliyoyasema asingeyasema, lakini kwakuwa hajui ukweli ndio maana amekurupuka tu na mimi siwezi kujibizana nae,"alisema.
Chanzo:Tanzania Daima
My take:
Nape unajitia sana aibu!
Ila yule kijana Nape ni mwisho aisee...kijana huwa anaropokwa kama muimba taarabu
Nape ni mtu mwenye uwezo mdogo sana wa kufikiri
Kuna muda nahisi marehemu Mzee Moses Nnauye auhisiki na Nape. His real father must be somewhere feeling ashamed for having such a son.
Hao vigogo wa NEC waondoke kwa kumpotosha Rais na Taifa kwa ujumla, Wamelitia aibu Taifa.
Wote, hata nape na kinana wasepeHao vigogo wa NEC waondoke kwa kumpotosha Rais na Taifa kwa ujumla, Wamelitia aibu Taifa.
Hao vigogo wa NEC waondoke kwa kumpotosha Rais na Taifa kwa ujumla, Wamelitia aibu Taifa.